Machafuko yote unayoona duniani ,ukichaa wa kidini,ukichaa wa siasa,ukichaa wa vyeo ,kutawala wengine vyote vinasababishwa na pesa,Pesa imeleta machafuko,ukiwa una uchumi duni jua utajiingiza kwenye mifumo hatari iwe biashara za kuua wengine au madawa au ngono zembe,ukiwa na hela halal kias...
Kafulila anaonekana ana maono na mtu anayefahamu takwimu vyema. Lakini uchumi wa trilioni moja anaotuhubiria kuwa tutafikia 2050 unaonekana hauwezekani kimahesabu.
Uchumi wetu kwa sasa ni dola bilioni 96 GDP nominal. Nimeiuliza AI uchumi wetu unahitajika kukua kwa asilimia ngapi kwa mwaka ili...
https://youtu.be/KuUO1ItbOUU
Habari zenu Wana-JF.
Mara nyingi kukiwa na mjadala wa kiuchumi Afrika Mashariki, ubishi unakuwa kati ya Tanzania na Kenya. Lakini vipi tukiziweka nchi tano za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Burundi) kwenye mizani moja kwa kutumia takwimu za...
Private public parteship (PPPs) ni uchumi dhaifu na sio wa kuutegemea ktk kujenga taifa letu kwa karne hii.
Muwekezaji ni sawa na mpangaji, leo yupo kesho anaondoka muda wowote, kujaribu kuutegemea uchumi wa namna hii ni kuua future ya mtanzania.
Ni sawa na mgonjwa wa Malaria aliyemeza...
KUPITIA PPPs, TUNATAKA KUWA NA SEKTA NDOGO YA KILIMO YENYE ZANA BORA ZAIDI, TEKNOLOJIA YA KISASA ILI KUONGEZA MCHANGO WAKE KWENYE UCHUMI (GDP)
Akijibu swali la Mwanachuo Rachel, Bwana David Zacharia Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC Tanzania, alisema watu wanapaswa kupungua katika sekta ya...
https://youtu.be/37pkGJHxis0
Kwa makadirio ya IMF ya Oktoba 2026, thamani ya Pato la Taifa kwa bei za sasa ni takribani dola za Marekani bilioni 151.2 kwa Kenya na bilioni 96.2 kwa Tanzania. Kwa mwaka huo huo, uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 6.0, dhidi ya asilimia 4.5 kwa...
Ukiacha stori ya kwenye wimbo wa 'Zali la Mentali', je, ushawahi kuona mwanaume wa hali ya chini anayebatika kuoa binti tajiri na maisha yake yakabadilika kweli ? Ama hizi mambo hutokea kwenye nyimbo na filamu tu? Share kisa unachokijua.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
Wakuu, ukweli ni kwamba bado tumelala usingizi wa pono wakati dunia inapiga hatua kubwa kupitia Artificial Intelligence, Cloud Computing, na Automation. Mfumo wetu wa elimu wa sasa bado unazalisha wafanyakazi wa kuandika na kuhesabu (clerks) kama ilivyokuwa wakati wa wakoloni, badala ya kujenga...
Sekta ya madini yawekewa mkazo katika kukuza uchumi, kupunguza utegemezi wa ufadhili wa utafiti na kuhakikisha matumizi sahihi ya asilimia 10 za mapato ya mauzo kwa maendeleo yenye tija.
Haya mambo yapo connected huko nigeria na deep state inacheza mchezo wa draft na maisha ya watu huku wakitembelea ma range rover na kuishi nyumba zenye fensi ndefu za ukuta na watoto wao wakiwasomesha nje ya nchi.
Mwanzoni sikuwa na exposure kabisa niliamini Frame ndio njia pekee ya kupata ukwasi, vijana wamefata mkumbo huo huo kijana ana mtaji wa million 5 anaenda kulipia Frame 1.5M per year anafatilia vibali laki 5 yote inaisha huko bado hajafanya decoration dukani mwisho anabaki na million 2.5 baada...
Tanzania imeendelea kuporomoka katika nafasi ya kiuchumi kutoka nafasi ya 9 mwaka 2022 kwenda nafasi ya 11 mwaka 2024 hadi nafasi ya 12 mwaka 2026 kwa ukubwa wa uchumi barani Afrika.
Chanzo: IMF – World Economic Outlook, Aprili 2026.
Natamani kuona tukirudi tena top 10 maana hadi DRC...
Sasa hivi kila mtu anajiamulia mambo, wanajiamulia mambo, yani ni kama nyumba haina baba yani nyumba haina kiongozi, serekali na hili shirika lake ijitafakari, haiwezekani kila siku umeme unakatwa, jana na leo maeneo kama Mwenge hakuna umeme,
Kipindi cha nyuma walikua wanatoa taarifa kwenye...
Migogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka.
Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo...
Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu.
Ndio kusema Hadi 2030 Kuna uwezekano mkubwa wa kufika $ 130 B ambapo atakuwa amekuza Uchumi Kwa kiwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.