uchumi

  1. Lycaon pictus

    Tunahitaji kuzalisha umeme MW laki moja ili kuwa na uchumi wa dola trilioni moja.

    Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili kulisha uchumi wa dola trilioni moja. Imesema kuwa range ni 35,000-130,000 MW installed kutegemea na...
  2. Roving Journalist

    Chalamila: Machinga aliyepewa fremu mwisho miaka mitano, baada ya hapo nakufukuza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni kuwawezesha kukua hadi kuwa wafanyabiashara wakubwa na walipakodi. Akizungumza leo, Oktoba 7, 2026, wakati...
  3. Zack Abdul

    Fursa Uchumi wa Bluu Yadiliwa COP12 Dar

    Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
  4. Dennis Robert Shughuru

    Tanzania kuna boom kwa sasa bandari imejaa pomoni, real estate iko juu ila hakuna TRICKLE DOWN kwenye uchumi

    Ukiangalia uchumi wa Tanzania kwa sasa ni upo kwenye boom Uchumi unakua vizuri Bandari inaingiza mizigo mingi sana na moja kielelezo ni kuongezeka maradufu kwa bandari kavu Real estate iko juu sana sahivi watu wanajenga sana Mapato ya TRA yanaongezeka Ila hakuna Trickle down economics...
  5. Zack Abdul

    UTALII WA MIKUTANO ARUSHA: Chachu Mpya ya Ukuaji wa Uchumi wa Jamii

    Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) jijini Arusha imeanza kuzaa matunda kwa kuchochea mnyororo wa thamani wa kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Ukuaji huu unathibitishwa na ujio wa wajumbe zaidi ya 3,000 wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma...
  6. instinct desire

    Taifisheni mabasi yote yaliyogoma kufanya kazi Leo hii ni hujuma dhidi ya uchumi wetu

    Husika kichwa cha habari hapo chajieleza, kugomea kufanya kazi kwa basi ambalo lilisajiliwa kufanya kazi ya kusafirisha abiria ni hujuma kubwa sana. Hebu jiulizeni wagonjwa wangapi wameshindwa kupata huduma za afya? Watoa huduma wangapi wameshindwa kutoa huduma kwa kushindwa kusafiri? Hii...
  7. Zack Abdul

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu: Sekta binafsi ni muhimu kufikia uchumi wa dola trilioni moja

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema ushirikishwaji wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya Tanzania, hasa azma ya kufikisha thamani ya uchumi wa Taifa hadi dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumapili, Septemba...
  8. M

    Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  9. Etwege

    Rais anayekuja kazi yake kubwa iwe kurudisha nchi kwenye uchumi wa kati

    Benki ya dunia na IMF mwaka 2019 viliitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati baada ya maboresho makubwa ya kiuchumi yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikiongozwa na hayati Magufuli na Makamu wake Samia. Serikali ya awamu ya tano ilifikia hayo mafanikio ya kuingiza nchi uchumi...
  10. Carlos The Jackal

    Kwa Maasai, Punda haliwi Wala sio mfugo wa Uchumi , Punda hamtii hasara Mmasai, Nyinyi kama MMEUA Simba ili kuwafurusha Maasai semeni tu

    Ni hayo tu, maana mnaweza kufikia Hatua ya kusema Mifugo ya Maasai inamaliza Nyasi na Majani mbugani !!
  11. Eli Cohen

    US kuichukua Greenland ina maana sasa hivi US ana jilinda katika kila angle ya dunia inayomzunguka

    Akiwa alasska ana tazama west europe. Akiwa maina land ana mtazama south na central america na east asia. Akiwa green land anatazama east europe.
  12. N

    Fursa adimu kwa vijana ya kujifunza AI, kukuza ujuzi wa kiteknolojia jiunge na team yetu leo

    Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing Social Media Specialist Content Management Moderation (Mods) Graphic Design Tunathamini mtu anayejua...
  13. G

    Maendeleo ya Taifa lolote yanaletwa na kushindanisha Ubora kuanzia mifumo ya kapata viongozi ELIMU na uchumi tunaandaa taifa duni tukiondoa ushindani

    Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora . Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu wasio na uwezo wasiotaka ushindani. Kuanzia kwenye mfumo wa ELIMU tunaopaswa kuandaa vijana wenye...
  14. BigTall

    Prof. Shemdoe: Serikali inawekeza kwenye madini kukuza uchumi wa viwanda, kuongeza fursa za ajira

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira bora ya uwekezaji na usimamizi wa rasilimali madini, kwa lengo la...
  15. T

    Uchumi wa kisasa/Diversified Economy

    Hivi kikwazo ni nini kulaza bomba ya gesi na mafuta Dsm kwenda Mza then Uganda, Rwanda na Burundi, kwa nini wengine wanaweza..? Halafu ipo mamlaka ya uwekezaji/TISEZA ukiangalia orodha ya miradi wanayoita ya kimkakati, aina ya mradi km huu haupo..TPDC wako busy kutafuta mafuta wembere.. Halafu...
  16. Zack Abdul

    Vijana: Tujikite Kwenye Uchumi na Jamii

    Vijana tujike kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi na kuachana na siasa za hovyo nchini maana ifikapo 2035 tutakuwa na ombaomba na wetegemizi wengi kwa vijana wengi kutumia na kupoteza muda mwingi kwenye siasa na harakati za hovyo.
  17. C

    Hizi gharama za uwanja wa ndege Tanzania zinaakisi uchumi wa wananchi?

    Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani. Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za...
  18. Mwizukulu mgikuru

    Hali ngumu ya uchumi anayoipitia mtu inaweza kuwa sababu ya kutengwa?

    Ni swali nimelipata kwenye mjadala wa kahawa au ni dalili za kifo.. Maoni ya Mdau
  19. Mwalimu Mkuu

    Tetesi: Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi....Mahakama imemtaka kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi saa 2:30

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
Back
Top Bottom