Taarifa ya CHADEMA Leo

Taarifa ya CHADEMA Leo

Mkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,
  1. kitu cha kwanza nilicho note, Chadema haina kabisa watu wenye kuweza kufanya kitu kinachoitwa critical analysis, hivyo hawajaweza hata kusoma in between the lines hiyo Tume ya Maridhiano ni tume ya nini!. Kwenye hili na critical analysis tutawasaidia kupitia humu humu jf, wawe wanasoma zile PNA zangu humu jf, zitawasaidia.
  2. Kitu cha pili, Chadema haina kabisa watu wanaitwa ma strategists, yaani watu wa strategia, hivyo kuna fursa kibao za kutusua, zinawapita pembeni kwa kukosa watu wenye broad vision to see a big picture, hivyo kukosa a mission to accomplish. Kwenye hili, niliwahi kushauri, Chadema isaidiwe na wazalendo wa kweli wa taifa hili, na hata ikibidi kusaidiwa na wana CCM wa Nyerere, kama mimi, kuisaidia Chadema, kutoka kuwa chama cha kiharakati na kuwa chama tawala in waiting!. PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
  3. Kuna kitu mimi nakijua na Chadema wanakijua lakini hawajakisema kwenye taarifa hii. Chadema wamepokea mwaliko wa kuteau majina mawili kwenye Tume ya Maridhiano, kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia, hili hawalisemi, kwa vile mimi nalijua, nimewashauri humu ushauri kuntu kabisa, Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?
  4. Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!. Wao wamejikita kwenye maridhiano, kujadili yaliyopita ambayo sii ndwele, wenzao wanaganga yajayo, kurekebisha katiba na sio kuzungumzia tena issues za katiba mpya!. Chadema wangekuwa strategic, wangesema tunataka kwanza maridhiano, kisha twende kwenye katiba mpya, na sio kurekebisha katiba iliyopo Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.
  5. Huko nyuma nilishauri Chadema isaidiwe, kuna Watanzania wengi tuu ni wazalendo wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona CCM inashinda kwa haki, tunakuwa na Bunge lenye upinzani makini, ili kuifanya CCM isibweteke, bila upinzani imara, huwezi kupata CCM imara, hivyo natoa tena wito Chadema isaidiwe kwa kushauriwa to do the right thing and do it right. PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
Mzee Pasco.



P
Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!.

Hiyo tu inatosha kutoa majibu mchakato huu ni uhuni na utapeli. Yaani mchakato hatua ya awali tu unaingizwa ujanja ujanja halafu unataka CHADEMA waamini nia njema.

Katika mazingira ya sasa, CHADEMA ikiingia inajipoteza CREDIBILITY yake mazima. Ni bora isiingia kabisa, wananchi tutawaelewa na tutawaunga mkono, na kitachopitishwa mtaani huku watu tutakuwa hatuna time nacho. Wananchi tutaendelea kususa na maridhiano yatakuwa kwenye makaratasi tu, ila mtaa muda wake utaongea.
 
Mkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,
  1. kitu cha kwanza nilicho note, Chadema haina kabisa watu wenye kuweza kufanya kitu kinachoitwa critical analysis, hivyo hawajaweza hata kusoma in between the lines hiyo Tume ya Maridhiano ni tume ya nini!. Kwenye hili na critical analysis tutawasaidia kupitia humu humu jf, wawe wanasoma zile PNA zangu humu jf, zitawasaidia.
  2. Kitu cha pili, Chadema haina kabisa watu wanaitwa ma strategists, yaani watu wa strategia, hivyo kuna fursa kibao za kutusua, zinawapita pembeni kwa kukosa watu wenye broad vision to see a big picture, hivyo kukosa a mission to accomplish. Kwenye hili, niliwahi kushauri, Chadema isaidiwe na wazalendo wa kweli wa taifa hili, na hata ikibidi kusaidiwa na wana CCM wa Nyerere, kama mimi, kuisaidia Chadema, kutoka kuwa chama cha kiharakati na kuwa chama tawala in waiting!. PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
  3. Kuna kitu mimi nakijua na Chadema wanakijua lakini hawajakisema kwenye taarifa hii. Chadema wamepokea mwaliko wa kuteau majina mawili kwenye Tume ya Maridhiano, kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia, hili hawalisemi, kwa vile mimi nalijua, nimewashauri humu ushauri kuntu kabisa, Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?
  4. Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!. Wao wamejikita kwenye maridhiano, kujadili yaliyopita ambayo sii ndwele, wenzao wanaganga yajayo, kurekebisha katiba na sio kuzungumzia tena issues za katiba mpya!. Chadema wangekuwa strategic, wangesema tunataka kwanza maridhiano, kisha twende kwenye katiba mpya, na sio kurekebisha katiba iliyopo Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.
  5. Huko nyuma nilishauri Chadema isaidiwe, kuna Watanzania wengi tuu ni wazalendo wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona CCM inashinda kwa haki, tunakuwa na Bunge lenye upinzani makini, ili kuifanya CCM isibweteke, bila upinzani imara, huwezi kupata CCM imara, hivyo natoa tena wito Chadema isaidiwe kwa kushauriwa to do the right thing and do it right. PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
Mzee Pasco.



P
Hivi Mkuu, wewe ni mzoefu wa siasa na una umri mkubwa kuliko mimi, naomba kuuliza CCM unaiamini? Na unatumia vigezo gani kuiamini? Pengine kuna jambo wewe unaliona mimi/sisi wengine hatulioni.
 
Masangwenya kama hao nani atababika nao kwa mfano ndugu mdau?
hata maana ya maridhiano tu hawajui :NoGodNo:
Awamu hii mtahaha sana, hakuna wa kukubali udhalimu ule, na hakuna wa kumsafishia..
Patamu hapo. 🔥🔥
 
Back
Top Bottom