Taarifa ya CHADEMA Leo

Taarifa ya CHADEMA Leo

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,612
Reaction score
660
Tamko la CHADEMA Leo

FB_IMG_1795511681839.jpg
FB_IMG_1795511686461.jpg
FB_IMG_1795511690240.jpg
 
Safi sana , nmependa pia msimamo ule ule wa kuendelea kumtambua kama mwenyekiti wa CCM na sio rais.

Pia hakuna haja ya CHADEMA kuwepo kwenye maridhiano maana uchafuzi uliobarikiwa na matawi ya CCM 18 ulileta kadhia kwa wananchi hivyo CHADEMA haihusiki CCM na matawi yake wakaridhiane na wananchikwa kuanza kuwawajibisha walioua na kisha uchaguzi halali ufanyike ili wananchi wapate viongozi wanaowataka.
 
Tamko la CHADEMA Leo
Mkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,
  1. kitu cha kwanza nilicho note, Chadema haina kabisa watu wenye kuweza kufanya kitu kinachoitwa critical analysis, hivyo hawajaweza hata kusoma in between the lines hiyo Tume ya Maridhiano ni tume ya nini!. Kwenye hili na critical analysis tutawasaidia kupitia humu humu jf, wawe wanasoma zile PNA zangu humu jf, zitawasaidia.
  2. Kitu cha pili, Chadema haina kabisa watu wanaitwa ma strategists, yaani watu wa strategia, hivyo kuna fursa kibao za kutusua, zinawapita pembeni kwa kukosa watu wenye broad vision to see a big picture, hivyo kukosa a mission to accomplish. Kwenye hili, niliwahi kushauri, Chadema isaidiwe na wazalendo wa kweli wa taifa hili, na hata ikibidi kusaidiwa na wana CCM wa Nyerere, kama mimi, kuisaidia Chadema, kutoka kuwa chama cha kiharakati na kuwa chama tawala in waiting!. PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
  3. Kuna kitu mimi nakijua na Chadema wanakijua lakini hawajakisema kwenye taarifa hii. Chadema wamepokea mwaliko wa kuteau majina mawili kwenye Tume ya Maridhiano, kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia, hili hawalisemi, kwa vile mimi nalijua, nimewashauri humu ushauri kuntu kabisa, Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?
  4. Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!. Wao wamejikita kwenye maridhiano, kujadili yaliyopita ambayo sii ndwele, wenzao wanaganga yajayo, kurekebisha katiba na sio kuzungumzia tena issues za katiba mpya!. Chadema wangekuwa strategic, wangesema tunataka kwanza maridhiano, kisha twende kwenye katiba mpya, na sio kurekebisha katiba iliyopo Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.
  5. Huko nyuma nilishauri Chadema isaidiwe, kuna Watanzania wengi tuu ni wazalendo wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona CCM inashinda kwa haki, tunakuwa na Bunge lenye upinzani makini, ili kuifanya CCM isibweteke, bila upinzani imara, huwezi kupata CCM imara, hivyo natoa tena wito Chadema isaidiwe kwa kushauriwa to do the right thing and do it right. PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
Mzee Pasco.

P
 
Naamini CCM watasoma,kutafakari na kuchukua hatua, kwa MASLAHI mapana ya Mama Tanzania..
N.B
Kibri
cha madaraka hakijawahi kuwa na mwisho mwema!
CCM unawajuwa au unawasikia, hawako tayari kufanya MARIDHIANO
Maridhiano halisi yatazaa attenuated CCM.
Attenuated CCM kitakuwa chama cha siasa halisi tofauti na sasa ambapo CCM na serikali ni kitu kimoja.
 
DUU ,KAZI KWELI KWELI.

Sasa kama lazima Tundu Lissu awepo , ni lini ataachiwa huru? kwamba rufaa yake itajibiwa leo? na hata akiwepo leo are you sure kwamba kila mnachokitaka serikali itakikubari? eg.mnataka uwajibikaji ya yaliyotokea tarehe 29 octoba.hahaha .hii haiwezi tokea nakwambia.na je ?
si kwamba tunatakiwa kwenda kwenye maridhiano ili Tundu lissu aachiwe huru?
je aliyeumizwa tarehe 29 octoba ni chadema peke yake? kila aliyeumia ni mwanachedema ?
nje ya TUNDU L ,ndani ya chadema hakuna mwenye busara zaidi na pengine kumzidi Tl?
na chadema msipoenda kwnye maridhiano ,kitakchofuata ni nini? vurugu ?kutokufanyika kwa maridhiano?
tume alizoziunda mh rais mmezikataa zote na kwa jinsi hiyo hamshiriki hata kutoa maoni.chombo kingine cha kulisaidia taifa ambacho mnakiamini na mnaweza kutoa maoni yenu ni kipi?

kwa mfano ikaonekana chadema ni wasumbufu na msajiri akaamua kukifuta chama ,hamuoni kwamba mtakuwa hamjawatendea haki watanzania?

HAPA TUMEKWAMA KINOMA SANA.,

ILA KANISA LINAWEZA KUWA MPATANISHI MZURI
 
Mkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,
  1. kitu cha kwanza nilicho note, Chadema haina kabisa watu wenye kuweza kufanya kitu kinachoitwa critical analysis, hivyo hawajaweza hata kusoma in between the lines hiyo Tume ya Maridhiano ni tume ya nini!. Kwenye hili na critical analysis tutawasaidia kupitia humu humu jf, wawe wanasoma zile PNA zangu humu jf, zitawasaidia.
  2. Kitu cha pili, Chadema haina kabisa watu wanaitwa ma strategists, yaani watu wa strategia, hivyo kuna fursa kibao za kutusua, zinawapita pembeni kwa kukosa watu wenye broad vision to see a big picture, hivyo kukosa a mission to accomplish. Kwenye hili, niliwahi kushauri, Chadema isaidiwe na wazalendo wa kweli wa taifa hili, na hata ikibidi kusaidiwa na wana CCM wa Nyerere, kama mimi, kuisaidia Chadema, kutoka kuwa chama cha kiharakati na kuwa chama tawala in waiting!. PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
  3. Kuna kitu mimi nakijua na Chadema wanakijua lakini hawajakisema kwenye taarifa hii. Chadema wamepokea mwaliko wa kuteau majina mawili kwenye Tume ya Maridhiano, kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia, hili hawalisemi, kwa vile mimi nalijua, nimewashauri humu ushauri kuntu kabisa, Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?
  4. Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!. Wao wamejikita kwenye maridhiano, kujadili yaliyopita ambayo sii ndwele, wenzao wanaganga yajayo, kurekebisha katiba na sio kuzungumzia tena issues za katiba mpya!. Chadema wangekuwa strategic, wangesema tunataka kwanza maridhiano, kisha twende kwenye katiba mpya, na sio kurekebisha katiba iliyopo Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.
  5. Huko nyuma nilishauri Chadema isaidiwe, kuna Watanzania wengi tuu ni wazalendo wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona CCM inashinda kwa haki, tunakuwa na Bunge lenye upinzani makini, ili kuifanya CCM isibweteke, bila upinzani imara, huwezi kupata CCM imara, hivyo natoa tena wito Chadema isaidiwe kwa kushauriwa to do the right thing and do it right. PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
Mzee Pasco.

P
Yaani wewe uwe na uelewa mpana kuzidi CHADEMA. We mzee unachekesha sana
 
Wewe Mzee dalali wa CCM, mambo ya CDM yanakuhusu nini? Ndio maana hata Kawe walikutupa nje ya uwanja.
Hawakutakiiii. Zee la Hovyo wewe.
 
Kweli masangwenya yote ya chadema yana uelewa na ufahamu finyu na mdogo sana kuhusu maana na lengo la maridhiano ya kitaifa yanayoendelea vizuri sana, miongoni mwa waTanzania kupitia vyama vyote vya siasa nchini na yakiongozwa na rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

Ni muhimu waTanzania wote kuwapuuza hawa masangwenya wa chadema ambao ndio walikua chimbuko hata la utapeli na mkwamo wa mchakato wa katiba mpya 2015, ambao ulilisababishia taifa hasara kubwa.

Tuungane sote kama taifa,
katika kuwapuuza masangwenya haya useless yanayotumiwa na kanisa kujaribu kuvuruga nchi, huku kwa umoja na mshikamano wetu, tukiendelea na maridhiano ya kitaifa yenye lengo la kujenga msingi imara zaidi, kuelekea kupata katiba mpya ya waTanzania wote kabla ya 2030 :NoGodNo: .
 
Kweli masangwenya yote ya chadema yana uelewa na ufahamu finyu na mdogo sana kuhusu maana na lengo la maridhiano ya kitaifa yanayoendelea vizuri sana miongoni mwa waTanzania kupitia vyama vya siasa vyote na yakiongozwa na rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

Ni muhimu waTanzania wote kuwapuuza hawa masangwenya wa chadema ambao ndio walikua chimbuko hata la utapeli wa mchakato wa katiba mpya 2015, ambao ulilisababishia taifa hasara kubwa.

Tuungane sote kama taifa,
katika kuwapuuza masangwenya haya useless yanayotumiwa na kanisa kujaribu kuvuruga nchi, huku kwa umoja na mshikamano wetu, tukiendelea na maridhiano ya kitaifa yenye lengo la kujenga msingi imara zaidi, kuelekea kupata katiba mpya ya waTanzania wote kabla ya 2030 :NoGodNo: .
Pole chawa wewe, Awamu hii mmekutana na wasiofika bei wala madalali.
Mtahanya sanaaa, na badoo 😂😂😂😂
 
Mkuu Magesi , asante sana kwa taarifa hii,
  1. kitu cha kwanza nilicho note, Chadema haina kabisa watu wenye kuweza kufanya kitu kinachoitwa critical analysis, hivyo hawajaweza hata kusoma in between the lines hiyo Tume ya Maridhiano ni tume ya nini!. Kwenye hili na critical analysis tutawasaidia kupitia humu humu jf, wawe wanasoma zile PNA zangu humu jf, zitawasaidia.
  2. Kitu cha pili, Chadema haina kabisa watu wanaitwa ma strategists, yaani watu wa strategia, hivyo kuna fursa kibao za kutusua, zinawapita pembeni kwa kukosa watu wenye broad vision to see a big picture, hivyo kukosa a mission to accomplish. Kwenye hili, niliwahi kushauri, Chadema isaidiwe na wazalendo wa kweli wa taifa hili, na hata ikibidi kusaidiwa na wana CCM wa Nyerere, kama mimi, kuisaidia Chadema, kutoka kuwa chama cha kiharakati na kuwa chama tawala in waiting!. PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
  3. Kuna kitu mimi nakijua na Chadema wanakijua lakini hawajakisema kwenye taarifa hii. Chadema wamepokea mwaliko wa kuteau majina mawili kwenye Tume ya Maridhiano, kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia, hili hawalisemi, kwa vile mimi nalijua, nimewashauri humu ushauri kuntu kabisa, Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?
  4. Chadema wangekuwa na watu wa critical analysis wangebaini, kinachoitwa Tume ya Maridhiano ni jina tuu, kinachoundwa ni Tume ya Marekebisho ya Katiba hii ya CCM ya mwaka 1977, na sio tena katiba mpya!. Wao wamejikita kwenye maridhiano, kujadili yaliyopita ambayo sii ndwele, wenzao wanaganga yajayo, kurekebisha katiba na sio kuzungumzia tena issues za katiba mpya!. Chadema wangekuwa strategic, wangesema tunataka kwanza maridhiano, kisha twende kwenye katiba mpya, na sio kurekebisha katiba iliyopo Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.
  5. Huko nyuma nilishauri Chadema isaidiwe, kuna Watanzania wengi tuu ni wazalendo wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona CCM inashinda kwa haki, tunakuwa na Bunge lenye upinzani makini, ili kuifanya CCM isibweteke, bila upinzani imara, huwezi kupata CCM imara, hivyo natoa tena wito Chadema isaidiwe kwa kushauriwa to do the right thing and do it right. PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
Mzee Pasco.

P
kwamba wewe mwanaccm uliyepata kura moja kwenye kura zenu ndio unaona chadema haina strategists, wewe ulipogombea na kupata kura moja ulikuwa na strategists? unasema chadema wangesema wanataka katiba mpya na sio marekebisho labda nikuulize kwani msimamo wa chadema ni upi kuhusu katiba je umewahi kusikia wakisema wanataka marekebisho ya katiba au katiba mpya? Nilichogundua kutoka kwako ni kwamba either unajizima akili kwa makusudi au huna akili kabisa pamoja na kwamba wanaccm wenzako huwa wanakuona unaakili. Haya tuseme chadema isiweze kuacomplish chochote kama unavyodai wewe na ccm yako utapata hasara gani? Si ni wewe huyuhuyu chadema walipoacha kusaini zile kanuni za uchaguzi mwaka jana ulikuja na uzi kuwa chadema imejizika na kwamba kufikia 2030 haitakuwepo. Au tukuletee uzi wako hapa uliokuwa unasema kuwa chadema haitakuwepo kufikia 2030. By the way hakuna jambo lolote litafanikiwa bila chadema mark these words whether you like it or not. Mwisho chadema haitaingia kwenye kinachoitwa maridhiano ya ulaghai ni bora kisishiriki huo ujinga kwa mustakabali wa taifa kwani hadi sasa watu wanatekwa na kufirwa halafu wewe hujawahi hata kupanua mdomo wako, onyesha mahala ulipokemea utekaji mbali na tabia yako ya kuuma na kupuliza ndio maana hata style yako ya uandishi imejaa punctuations kuu mbili ambazo ni question marks and exclamation marks ili wakikutight unaowaogopa useme ulikuwa unauliza au kushangaa, hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom