Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 5,453
- 11,183
Mbona Rais wa Mawe kashaanza kujipalilia njia kule kwa kina mwendazake kwenye ukanda wa ng'ombe wa maziwa makuu
Hoseni anawacheki tuu, maana yeye ndie ajae...bwana atayapiga maji fimbo nae atayavuka na kukikalia kiti kile alichokalia babae bila watu kutarajiaVita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,
Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi
🥲
Britanicca
Huyo mnyaturu hafai kabisa kuja kuwa Rais! Akistaafu atulie tu.acha wauane maana hawana akili wote
raisi wa mawe bwege sana, alitengeneza(ga) ka clip et cdm wanataka rusha mabomu kwenye mikusanyiko
yaan jamaa huwa n bwege sana
Na huyu ndie Rais wenu.Ridhiwan
Rais wa wakwele! Ridhiwan anafaa kuwa Rais! Kijana yupo humble sana! Na Hana mambo mengi.Na huyu ndie Rais wenu.
Amesema wanasuguanaWacha wauane, ni faida kwa taifa
Rizimoko au Mwinyi 2030Mambo ya destuli yalikuwa zamani Mzee. Sasa hivi hakuna ramli za destuli za chama.
Deo nyota yake inawaka, nadhani exposure ya kuishi Uingereza inamtenga na wajinga wajinga.Rais wa Mawe= Madelu PM
Mkatoliki wa Mchongo = Deo VP.
Tumeshazoea haitabadilisha chochote ninavoamini ni CCM kuanguka tu hakuna kingine.Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,
Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi
🥲
Britanicca
Ridhiwani ameshaharibiwa na Baba yake, laana zote zinazoliandama Taifa source ni Kikwete.Rais wa wakwele! Ridhiwan anafaa kuwa Rais! Kijana yupo humble sana! Na Hana mambo mengi.
Mkatoliki Mwitu.Rais wa Mawe= Madelu PM
Mkatoliki wa Mchongo = Deo VP.
Ebu taja mabaya ya kikwete? aliua watu wangapi? Mostly tumepata sana pesa wakati wa Kikwete na kujenga vijumba! Magufuli ndio aliharibu hii Nchi kwa kiwango kikubwa kabisa,Ridhiwani ameshaharibiwa na Baba yake, laana zote zinazoliandama Taifa source ni Kikwete.
Muislamu pekee anayeweza kukubalika na wote ni Hussein Mwinyi peke yake.
Hata mwanangu wa form one hakusikilizi kwa uongo kama ule!🤣🤣🤣🤣Mbinu za miaka ya 90..
Yaani eti mwanajeshi wa wapi sijui akamatwa mpakani na visu na mabomu yaani..dah.
Huwa namuelewa sana huyu jamaaKwa maono ya kinabii juu ya unabii uliowahi kutolewa na Nabii siku za nyuma ya kuwa watakuwa wanaviziana kukalia KITI,na hakuna atakayekalia KITI kwa muda MREFU kabla ya kuangushwa chini na kuingia mwingine mpya na hata yule mpya atakaye ingia na kukalia KITI naye ataviziwa /atawindwa kuangushwa chini ,na mzunguko huo utakuwa unajirudi vicious cycle hivyo hivyo kila mara.
Itafute nadhani nshawahi kuiona humu piahiyo barua ilikufikia wewe peke yako? Iweke hapa mkuu.
Ni yupi huyo code imenipiga chengaacha wauane maana hawana akili wote
raisi wa mawe bwege sana, alitengeneza(ga) ka clip et cdm wanataka rusha mabomu kwenye mikusanyiko
yaan jamaa huwa n bwege sana