Soon wanasuguana hapo juu

Soon wanasuguana hapo juu

Sasa mara alizeti, mara nini hapakuwa na ukweli wowote, bado tukuamini!
Jamaa fix sana huyu. Watu wanaongelea kimama kutaka kujiongezea muda yeye analeta jambo ambalo haliko kabisa. Hii fi-si-em ya sasa ikuache utengeneze mtandao? Mkwere kashika usukani kikamilifu na rais wa mawe anajua hatari iliyopo kama atathubu kuleta fyoko. Sana sana anaugulia ndani kwa ndani tu.
 
Wote wawili hawana sifa!!
U pm na umakamu unakutoa kwenye equation ya kuupata u namba moja!!

Wasahau,hata mama alilazimisha TU ni kinyume na desturi!

Hatutakubali kuvunjwa kwa miiko ya chama!mwenyekiti aliepo tulimstahi tu baada ya kuituliza nchi kipindi cha mpito tulipofiwa tukamzawadia awamu hii!!

HAO HAWAPO NA HAWATAKUWEPO KWENYE MFUMO!!

tuendeleze utu uliopo kwenye ilani ya chama chetu

Mnajitutumua(ga) kwenye mitandao Kama mna uwezo kweli yani, mkifika kwenye vikao mnajaziwa siagi midomoni mnakuwa domozege wanafanya watakavyo!

Mama atamuweka makei tu alinde maslahi ya familia zao anamuamini sana kuliko yeyote na yataisha mtatoka Dodoma na mashati ya kijani kurudi mikoani kwenu
 
Wote wawili hawana sifa!!
U pm na umakamu unakutoa kwenye equation ya kuupata u namba moja!!

Wasahau,hata mama alilazimisha TU ni kinyume na desturi!

Hatutakubali kuvunjwa kwa miiko ya chama!mwenyekiti aliepo tulimstahi tu baada ya kuituliza nchi kipindi cha mpito tulipofiwa tukamzawadia awamu hii!!

HAO HAWAPO NA HAWATAKUWEPO KWENYE MFUMO!!

tuendeleze utu uliopo kwenye ilani ya chama chetu

Kumbe nchi unaoongozwa kwa desturi za chama chetu siyo kwa katiba na sheria

Safari tuliyo nayo ni ndefu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom