Wengi tunausubiria huo mwaka2030 natabiri patachimbika
Kwanini ? Akishindwa wakati huu wakati mzee wake bado yupo hai hapati tena, unafikiri kwanini makamba kutupwa machakani? Anaeliwa rada kwasasa ni rais wa mawe yeye ni kikwazoRiz hawezi kuwa Rais ndani ya miaka 10 ijayo
Hawatapewa na Nani?. Kumbe kuna mgawaji(wagawaji) wa Urais na hamsemi?Rais wa kwenye mawe na huyu wa Mchongo wote hawafai kupewa kiti cha Urais. Na hawatapewa
Kuanza kudhani na kuwaza kwamba Nchi inaweza kupewa hao wawili ni kuonyesha kwa kiasi gani ile nafasi ya juu kabisa ilivyoshushwa hadhi
Tumeichezea sana ile nafasi na kuharibu taswira yake
Desturi sio sheria wala haimo kwenye Katiba ya Chama !Wote wawili hawana sifa!!
U pm na umakamu unakutoa kwenye equation ya kuupata u namba moja!!
Wasahau,hata mama alilazimisha TU ni kinyume na desturi!
Hatutakubali kuvunjwa kwa miiko ya chama!mwenyekiti aliepo tulimstahi tu baada ya kuituliza nchi kipindi cha mpito tulipofiwa tukamzawadia awamu hii!!
HAO HAWAPO NA HAWATAKUWEPO KWENYE MFUMO!!
tuendeleze utu uliopo kwenye ilani ya chama chetu
Hiyo list igeuze juu chini utanishukuru😀1. Majaliwa
2. Nchimbi
3. Mwinyi
4. Mpango
5. Lissu
Hapo ndio kwenye Rais.
Hawa vijana wa chadema ni wapumbavu na watakufa na huo upumbavu wao. Mijitu isiyo na chochote ikijifanya inajua kila kitu. Ni mazuzu na mazombie yanayojidanganya!Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,
Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi
🥲
Britanicca
Mkuu hii picture, daa isije kawa unaitumia vibaya
Kwa sababu imezoeleka akitoka Mkuu wa Dini ile anaingia Mkuu mwingine wa kutoka Dini hii 😁 !Hiyo list igeuze juu chini utanishukuru😀
Tuendelee kunywa mtori, nyama ziko chiniKwanini ? Akishindwa wakati huu wakati mzee wake bado yupo hai hapati tena, unafikiri kwanini makamba kutupwa machakani? Anaeliwa rada kwasasa ni rais wa mawe yeye ni kikwazo
2030 Hakutokuwa na uchaguzi!Kwanini ? Akishindwa wakati huu wakati mzee wake bado yupo hai hapati tena, unafikiri kwanini makamba kutupwa machakani? Anaeliwa rada kwasasa ni rais wa mawe yeye ni kikwazo
Ulikuwa hujui? Ndipo mlipofikishwaHawatapewa na Nani?. Kumbe kuna mgawaji(wagawaji) wa Urais na hamsemi?
Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,
Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi
🥲
Britanicca
Hili naunga mkono.Ridhiwani ameshaharibiwa na Baba yake, laana zote zinazoliandama Taifa source ni Kikwete.
Muislamu pekee anayeweza kukubalika na wote ni Hussein Mwinyi peke yake.
Povu la nini mkuu, weka wazo mbadala.Hawa vijana wa chadema ni wapumbavu na watakufa na huo upumbavu wao. Mijitu isiyo na chochote ikijifanya inajua kila kitu. Ni mazuzu na mazombie yanayojidanganya!