Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,533
- 14,896
Sasa sijui watampa Hizo episode 2 zilizobaki alafu watamuua au watamuacha mpk season 3Mad Dog ni Merlin..!??ππ
Mobland wana siri sana, basi kisasi cha kuuawa baba yake kitaenda kuwa serious mno..!ππΎ
lazima familia ya Harrigan iwe na a very deadly villain, ndiyo series ichangamke, ngoja tuone kama ata fit kwenye picture..!Sasa sijui watampa Hizo episode 2 zilizobaki alafu watamuua au watamuacha mpk season 3
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless
7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Ps
Bansheee asee n nzuri sana nmekumbuka 2016 hukoTrue blood
Vikings ( my favorite TV series out there )
Banshee
The walking dead
Narcos asee wazee wa madawa.Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless
7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
Imefika episode ya ngapi?Hivi ni kweli hakuna mtu anafuatilia NOCTURNE..!??
Nitawachapa sasa..!!
hamna haja ya appHuwa mnatumia apps ku download series bila kipingamizi???
Ijumaa wanaachia episode ya 4, ila itβs one of the Best ndugu yangu..!ππΎImefika episode ya ngapi?
ni ile maji ukiyavulia nguo, unamalizia Series huku unailaani..!Daaah kweli Mkuu, ningeiona hii review yako pengine ningefanya maamuzi ya kutoicheki maana huwa sipendi kuona katikati ya igizo watu wanaigiza tena.
Rate ya 7.1 ndio iliyoniponza ila nimeimaliza kigumu hivyo hivyo.
Hii series story yake ikoje kwa kifupiHii mbona kama imekaa ki Bollwood au wenzangu mnaonaje?
View attachment 3707063
Ikoje mama hii seriesHivi ni kweli hakuna mtu anafuatilia NOCTURNE..!??
Nitawachapa sasa..!!
Dada mmoja aliyekuwa drug dealer kwa miaka 20 ana amua kuachana na michongo hiyo haramu.Hii series story yake ikoje kwa kifupi