Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuyamaliza hamuwezi!
Sasa tumalize nini
Mi sina shida na mtu ukiona sielewani na mtu yeye ndio ana shida na mimi hilo nina uhakika

Sijawahi kumsema mtu kwa ubaya
wala kudhamiria kumsema mtu vibaya

Sasa hii haina maana kua mimi mnyonge sipendi tu uswahili na magomvi yasio maana
Au Kila mtu ana egle nani amuanze mwinzie?
Sahau sijawahi kuanzisha mgogoro labda nianzwe na hata nikianzwa muda mwingine hua na escape
Alafu hizi bifu nyingi zipo sana kwa ke jf, au we sio ke mwenzio ni njemba!
Sina bifu na mtu kabisa
Awe ke au me napenda amani itawale

Ndio maana utakuta nakemea ma umbeya na ugomvi
Tuna mambo mengi ya kufanya
Ukipigwa burn chino atakupatia wapi tena? haha Lamomy mwenyewe haelewiki Kuna siku anaamka kapuliza ntakua nakimbilia wapi
Sitapigwa bani bana 😊
MF : huyo mkeo mkubwa majuzi kati huko siasi tulitofautiana mitazamo


Lakini after hapo life linasonga
Kama hakuna kilichotokea
 
Sasa tumalize nini
Mi sina shida na mtu ukiona sielewani na mtu yeye ndio ana shida na mimi hilo nina uhakika

Sijawahi kumsema mtu kwa ubaya
wala kudhamiria kumsema mtu vibaya

Sasa hii haina maana kua mimi mnyonge sipendi tu uswahili na magomvi yasio maana

Sahau sijawahi kuanzisha mgogoro labda nianzwe na hata nikianzwa muda mwingine hua na escape

Sina bifu na mtu kabisa
Awe ke au me napenda amani itawale

Ndio maana utakuta nakemea ma umbeya na ugomvi
Tuna mambo mengi ya kufanya

Sitapigwa bani bana 😊
MF : huyo mkeo mkubwa majuzi kati huko siasi tulitofautiana mitazamo


Lakini after hapo life linasonga
Kama hakuna kilichotokea
Dahh maneno yako tu yanaonekana unapenda amani sio mtu wa vita basi sawa usibadilishe tabia yako kwa sababu ya wao.

Nimekua nikijiuliza mbingu Ina malaika wangapi? Maana mmoja ameshuka hapa selfika.

kuhusu kutofautiana mnacho kiamini katika majukwaa ni kawaida sana na hasa katika siasa! Nimefurahi Kuona mlitofautiana at the end of the day as if nothing happened hapo mre act kama sisi men tunatofautiana lakini sio kigezo Cha kuacha ongea, ama gombana
 
Back
Top Bottom