Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haya wapiga pic kwa kisingizio cha kunywa soda mmefikiwa..!! 😹😹

Kuna kipindi humu selfika kulitrend wadada kutaja rotana lakini wote sijawahi kuwaona na hizo pics za Johari rotana!

Waungwana tupeni pics tuzione basi 😹😹
Leo sijakuona siku haijawa poa hata kidogo
 

Attachments

  • Screenshot_2026_0927_203922.jpg
    Screenshot_2026_0927_203922.jpg
    55.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom