Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 37,654
- 107,950
Au sio🤣Wetu
Au sio🤣Wetu
Tuletee kajomba banaAcha wapokee wengine mimi ntakuwa wa mwishoooo😁😁😂
Kwanza we umetuletea😁Tuletee kajomba bana
NdivyoAu sio🤣
Mimi nakaribia kuozesha mwaya umebaki wewe tuKwanza we umetuletea😁
Kuozesha kuozeshwaMimi nakaribia kuozesha mwaya umebaki wewe tu
🤣🤣mnipe muda jmniMimi nakaribia kuozesha mwaya umebaki wewe tu
😂😂we najua unaitwa saizi babuKuozesha kuozeshwa
Nitolee bhang😂😂we najua unaitwa saizi babu
🤣🤣🤣🤣🤣duh imebidi nichkeNitolee bhang
Sasa ntakonda mbona sjazoea kupitisha masiku sjaona namba 4 au 7 au 9Nilikohamia hakuna network kabisa dr hapa nimesogea kijiji kirani!!
Niko guwd hofu ilikuwa kwako furaha ya moyo wangu nyonga mkalia ini wangu.Niko pouwa Mr Poker, niaje wewe?
We Poker mbona ghafla sana? 😹😹Niko guwd hofu ilikuwa kwako furaha ya moyo wangu nyonga mkalia ini wangu.
😁 hao wengine hawako serious, mi niko serious sana nanimekuja kwa kishindo kikuu.We Poker mbona ghafla sana? 😹😹
JF nna mabebe wengi, Mungu bariki na wengine..!!
Umekuja kwa kishindo cha wakoma 😹😹😁 hao wengine hawako serious, mi niko serious sana nanimekuja kwa kishindo kikuu.