Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,656
- 59,793
Huea tunapishana muda ni bless now 🙏Ngoja nikubless leo😹😹😹
Huea tunapishana muda ni bless now 🙏Ngoja nikubless leo😹😹😹
Ukifika niiteee😹Huea tunapishana muda ni bless now 🙏
Nimefika kwa dharura 😅Ukifika niiteee😹
Waambie pia wanajua kusugua jinzi na brashi itoe mistari mistari mapajani 🤣🤣Timberland nilikuwaga nayo ya kaki nikaipiga rangi nyeusi iwe ya shule na suruali enzi zile tulikuwa tunavaa mabwanga
American boots tulikuwa tunashare ki boarding tu 🤣
Nilikuja kuimiliki yangu mwaka 2010 niliinunua pale kwa Makoba Kariakoo lakini kuna siku nilikuwa nakimbizwa na vibaka halafu kamba sijafunga nikakanyaga jiwe kubwa nikaanguka chini vibaka wakapita na simu Nokia E40 ( gen z hawaijui hii ) kile kiatu nikawatumia ndugu kijijini huko.
Ile mitisheti ya Nelly, Eminem, Sisqo doooh ilikuwa kama jezi sikuwahi kuivaa kabisaaa
Nowadays napendelea kuvaa leather shoe, Air Max na Crocs tu 😀
😹😹😹Afisa wa TAMISEMI unamkuta kavaa shati la kitenge , suruali ya kitambaa na safari boot yake
Manyanza na wewe umekua kama wachaga, hivyo viatu mara nyingi vinavaliwa na wachaga..!! 😹
Nilishawahi kuambiwa na Cocastic sijui kuchagua viatu 🤣Manyanza na wewe umekua kama wachaga, hivyo viatu mara nyingi vinavaliwa na wachaga..!! 😹
Buyuuu
Poker 😹😹😹Lamz, Lamo, Lamomy momy, mwanamke classic, kiboko ya vigagula, ukifa hauozi, mama la mama pesa kwako makaratasi, fashion killer, usiye na kengeza, mwenye afya tele, kiboko ya roho yangu, mwenye mapenzi tele, rangi ya dubai, sauti ya kumtoa nyoka pangoni.
Embu fanya kunibless na moja mchana huu nishushie na ugali sato my cwt darling.
Kweli hii ndula 😹😹View attachment 3707621
Chivundu Hii Lugz niliigumia maeneo ya Billcanass nyuma ya jengo la RITA mwaka 2019 🤣
Enzi tupo school miaka ya 2002 tulikuwa tunamuona Inspector Haroun kavivaa
Lamomy umeiona ndula ya kiume isiyokuwa na sura 😅😅😅
Nimefika kwa spidi ya ngiri mkia juu.Poker 😹😹😹
Yani nimecheka mpaka machozi, sio kwa sifa hizi..!! Hapo kiboko ya vigagula ndo penyewe 😹😹
Haya njoo nikubless
Hebu weka hata mkono nione kwanzaKumbe, unaweza pia usitishiwe
Hizo fubu ni vitu gani? Ila wazee🙌🏾 Hebu nitumie picha nijihakikishe kwanza😎Seran, unenikumbusha enzi za Fubu, Phatfarm, Dada, Sean John. Nilikuwa napiga sana jeans pana hizi. Raba kubwa, Lugs na natupia madini shingoni. 😊
We ulikuwa chekechea miaka ya 2001/2002.
Ilitamba sana hiyo kiatu miaka ya 2002/2003 🤣Kweli hii ndula 😹😹