Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,902
- 105,491
Nilitoka kuna kitu nilikua nafanya, upo nipite?Nimefika kwa spidi ya ngiri mkia juu.
Nilitoka kuna kitu nilikua nafanya, upo nipite?Nimefika kwa spidi ya ngiri mkia juu.
Duh!Ilitamba sana hiyo kiatu miaka ya 2002/2003 🤣
Niuweke wapi wakati upo mbaliHebu weka hata mkono nione kwanza
Hiyo yangu niliinunua mwaka 2019Duh!
Weka hapa mimi nitauchukua😆Niuweke wapi wakati upo mbali
Uuweke cha wapiWeka hapa mimi nitauchukua😆
Nijibariki tu😎Uuweke cha wapi
Uko vizuri kwenye kuchagua viatu vya bajeti..!!Hiyo yangu niliinunua mwaka 2019
Uko sawa sasa hasira zimeishaYes, mchuchu..!! 😘
Zimepungua 🥹Uko sawa sasa hasira zimeisha
Niku peleke wapi kuzimaliza au ThailandZimepungua 🥹
Nataka hukuNiku peleke wapi kuzimaliza au Thailand
Kila niki type nafuta lamo ujueNataka huku
😹😹😹 Why mchuchu?Kila niki type nafuta lamo ujue
Ilo Kono hahaha noma sana!!😹😹😹 Why mchuchu?
Mpiga pic alikua na wenge wala sijaongezeka..!!Ilo Kono hahaha noma sana!!
Afu umeongezeka kimtindo