Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

file_0000000098608211ad7f062a7f523e24.png

Itabidi week hii niselfike nikiwa nimevaa hii tshirt ✌
 
Seran, unenikumbusha enzi za Fubu, Phatfarm, Dada, Sean John. Nilikuwa napiga sana jeans pana hizi. Raba kubwa, Lugs na natupia madini shingoni. 😊
We ulikuwa chekechea miaka ya 2001/2002.
Fubu, Phat Farm, Dada , Sean John 😂
Nakumbuka nilikuwa na tshirt ya fubu05 nyeusi , sweta la phat farm , pensi la jeans pana kama mfuko wa mashine ya kusaga lina ribbon ya dada na jeans ya zizzle mpauko 🤣 Lugz nilikuwa namuona Inspector Haroun kwenye magazeti tu amevaa

Way back 2002 mpaka 2003

Vijana hawawezi kuyajua haya
 
Discovery sport la 2023 kwenu mkweche kumbe tajiriiii 😹😹

Nipe mimi huo mkweche 😍

Twende December Victoria falls 🔥🔥
kweli wanawake hamjui magari 😁 December stokua Bongo wew Ijumaa twenzetu Lusaka hamna hata haja ya passport tajiri🔥
 
Fubu, Phat Farm, Dada , Sean John 😂
Nakumbuka nilikuwa na tshirt ya fubu05 nyeusi , sweta la phat farm , pensi la jeans pana kama mfuko wa mashine ya kusaga lina ribbon ya dada na jeans ya zizzle mpauko 🤣 Lugz nilikuwa namuona Inspector Haroun kwenye magazeti tu amevaa

Way back 2002 mpaka 2003

Vijana hawawezi kuyajua haya

Gone are the days!
Zeezle walikuwa na jeans smart sana, nyeusi au blue na kadeti yake.
Baada ya kuja jeans mpauko, na Nelly kuleta staili ya kuweka kiplasta, basi ilikuwa hatari.

Lugz au American boots/Timberland, kilikuwa kiatu changu pendwa. Mpaka leo sikosi pair mbili za Timberland.
Niwe site, lazima nipige 6 inches original Timbeeland boots.
 
Timberland nilikuwaga nayo ya kaki nikaipiga rangi nyeusi iwe ya shule na suruali enzi zile tulikuwa tunavaa mabwanga

American boots tulikuwa tunashare ki boarding tu 🤣

Nilikuja kuimiliki yangu mwaka 2010 niliinunua pale kwa Makoba Kariakoo lakini kuna siku nilikuwa nakimbizwa na vibaka halafu kamba sijafunga nikakanyaga jiwe kubwa nikaanguka chini vibaka wakapita na simu Nokia E40 ( gen z hawaijui hii ) kile kiatu nikawatumia ndugu kijijini huko.

Ile mitisheti ya Nelly, Eminem, Sisqo doooh ilikuwa kama jezi sikuwahi kuivaa kabisaaa

Nowadays napendelea kuvaa leather shoe, Air Max na Crocs tu 😀
 
Back
Top Bottom