Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kweli wanawake hamjui magari 😁 December stokua Bongo wew Ijumaa twenzetu Lusaka hamna hata haja ya passport tajiri🔥
😀😀😀 we Lamomy kasafishe macho halafu ukafanya cache clearing ya mambo ya kiwaki yanayoendelea hapa Bongo ukirudi uwe na fresh mind.

Mfalme usisahau kufanya compensation ya vijora vyake ukienda naye 🤣
 
😀😀😀 we Lamomy kasafishe macho halafu ukafanya cache clearing ya mambo ya kiwaki yanayoendelea hapa Bongo ukirudi uwe na fresh mind.

Mfalme usisahau kufanya compensation ya vijora vyake ukienda naye 🤣
bora wew umwambie pengine atakusikiliza 😁

Vijora kakopesha au? kama kafirisika alete namba tumchangie bukubuku apa chaap arudi mzigoni
 
Timberland nilikuwaga nayo ya kaki nikaipiga rangi nyeusi iwe ya shule na suruali enzi zile tulikuwa tunavaa mabwanga

American boots tulikuwa tunashare ki boarding tu 🤣

Nilikuja kuimiliki yangu mwaka 2010 niliinunua pale kwa Makoba Kariakoo lakini kuna siku nilikuwa nakimbizwa na vibaka halafu kamba sijafunga nikakanyaga jiwe kubwa nikaanguka chini vibaka wakapita na simu Nokia E40 ( gen z hawaijui hii ) kile kiatu nikawatumia ndugu kijijini huko.

Ile mitisheti ya Nelly, Eminem, Sisqo doooh ilikuwa kama jezi sikuwahi kuivaa kabisaaa

Nowadays napendelea kuvaa leather shoe, Air Max na Crocs tu 😀

Mkuu, Timberland (American boots) original. Ndio kiatu navaa nikiwa site au porini. Ni kiatu flani najisikia comfortable sana nikiwa nacho hasa maeneo korofi. Ni unyama sana hiyo boot. 😊
 

Attachments

  • 20260426_174103~2.mp4
    12.5 MB
bora wew umwambie pengine atakusikiliza 😁

Vijora kakopesha au? kama kafirisika alete namba tumchangie bukubuku apa chaap arudi mzigoni
Mwamba sana huyu Bi Dada 😄
Ana kitu na atafika mbali , kama qkiikubali trip compensate angalau na 2000 usd akirudi awe na akili mpya maana kelele za Carrier Koo sio mchezo
 
Mwamba sana huyu Bi Dada 😄
Ana kitu na atafika mbali , kama qkiikubali trip compensate angalau na 2000 usd akirudi awe na akili mpya maana kelele za Carrier Koo sio mchezo
mimi huyu akikubali hii road trip nampa 2000$ kwenda kurudi nampa tena 2000$ ya usumbufu sa sijui anakwama wapi huyu tajiri yangu, mwambie alegeze kidogo wengine vipato vyetu vidogo ndo mwisho apo 😄
 
mimi huyu akikubali hii road trip nampa 2000$ kwenda kurudi nampa tena 2000$ ya usumbufu sa sijui anakwama wapi huyu tajiri yangu, mwambie alegeze kidogo wengine vipato vyetu vidogo ndo mwisho apo 😄
😹😹😹 Una offer nzuri, sasa wewe tuma hizo dollar 4000 zote kwanza tujazie mzigo wa vijora. Halafu tutapanga hiyo road trip na Uzuri dereva nipo, ukichoka nakusaidia kulipush hilo discovery..!!
 
Back
Top Bottom