Rwanda yakemea vikali uamzi wa Tanzania

Rwanda yakemea vikali uamzi wa Tanzania

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,294
Reaction score
5,975
Rwanda, pamoja na nchi nyingine za Afrika mashariki, hasa Kenya na Uganda, zimeiomba Tanzania kuhakikisha inafuata utaratibu uliowekwa na nchi wanachama, kurahisisha shughuri za kiuchumi kati ya nchi wanachama.

Imefuatia agizo la waziri wa viwanda wa Tanzania, Mhe Jafo, kutoa orodha ya shughuli ambazo hazitakiwi kufanywa na raia wageni.
 
Back
Top Bottom