Rwanda haiwezi kuishi bila sisi

Rwanda haiwezi kuishi bila sisi

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,487
Reaction score
1,465
Msemaji mkuu wa Serikali ya DRC, Patrick Muyaya, akisema kwamba, DRC ni nchi kubwa ya ukanda.

Hii inatosha kuonyesha kwamba, Rwanda, Burundi na nchi nyingine jirani, haziwezi kuishi bila Congo, wakati Congo inaweza kuishi bila nchi hizi.

Ni kweli?
 

Attachments

  • Umujinga cyane. Kwiyemera n’ubujiji iyo bijyanye bibyara iki Muyaya ati; u Rwand.mp4
    493.6 KB
Back
Top Bottom