The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Mizimu au majini ya ukoo ambayo yanabebwa na mababu, hao mababu wakifa huchagua yanayemtaka ili aendeleze kazi.
Kuna jamaa nikikutana naye anasema yaani mstakabari wa kila mwanaukoo wao uko kwake. Kila wakikutana yeye ndio hutoa muongozo na maelekezo ya mababu. Yeye hakupenda ila mizimu...
Habari za wakati huu;
Mimi ni mdau wa technolojia na mara zote huwa nafanya majaribio kwa lengo la kujifunza zaidi na kuhakikisha ninaenda na wakati.Kwa sasa hivi nimewekeza nguvu na muda zaidi katika kujifunza utumizi wa AI katika shughuli zangu.Andiko hili ni Tangazo lakini Simulizi...
Habari za wakati huu wakuu wa jukwaa hili.
ukisikia mjini njoo na akili zako nguvu acha kijijini basi soma uzi huu kwa umakini.
Kuna kitu kimoja nimekuwa nikikiona mtaani kwetu, hasa kwa vijana wajanja wanaofanya biashara za Electronics (TV, sabufa, simu), Movie Libraries, na hata Hardware za...
Habari zenu wadau wa JF.
Umeshawahi kukutana na mtu mkakaa dakika tano tu halafu stori zinaisha, mnaanza kuangaliana kama mpo kwenye daladala la Mbagala? Au unataka kumtoa mtu maneno mdomoni bila yeye kuhisi unamchimba?
Kuna mbinu moja nzuri sana ya kisaikolojia inaitwa Kuvuta Neno...
JANGA JUU YA JANGA: KUFUNGA SHULE MIEZI MIWILI BILA VIBOKO WALA VIPIMA MIMBA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA!
Habari wakuu wa Jukwaa la Elimu na Jamii kwa ujumla,
Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika sekta yetu ya elimu na malezi ya vijana wetu nchini. Hata hivyo, ukiunganisha matukio matatu...
Ninaomba kuwasilisha suala hili zito la ukiukwaji wa haki za binadamu na sheria za nchi unaoendelea hapa Wilayani Kyela ili liweze kuwafikia viongozi wakuu wa TAKUKURU, Jeshi la Polisi, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, pamoja na watetezi wa haki za binadamu...
..kichwa cha habari chahusika.
..Jaji Ndunguru na wenzake wanadai uchochezi ni kosa dogo la uhaini.
..Yaani ni sawa na kosa la kuuwa bila kukusudia, lilivyo kosa dogo, kwa kosa la kuuwa.
..Kama hoja yao ni ya kweli kwanini Dpp alifungua kesi ya uhaini, na kesi ya uchochezi?
..Au kwanini kesi...
Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya.
Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni.
Kwa mujibu wa matokeo ya...
baada
bila
bungeni
hana
israel
kiongozi
kukosekana
kuongoza
kushikilia
kuwa
madaraka
mkuu
mpya
muafaka
nchi
ndogo
netanyahu
nguvu
rais
serikali
uchaguzi
viti
vyama
waziri
waziri mkuu
zaidi ya
Deogratius Mushi
***
Ukiwa umepita mwaka mmoja tangu zilipotokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tatu Senkondo, mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam, anaishi katika maumivu na sintofahamu kufuatia kutoweka kwa mumewe, Deogratius Mushi, aliyedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana...
Tanzania bila viongozi kuwajibika ajali haziishi.
Leo Iringa wamekufa Watu 20.. Hakuna kiongozi anayejali japo kutoa pole
Samia Suluhu alitoa pole kwa Mtu mmoja alokufa huko Zimbabwe sijui Chivayo, Watanzania zaidi ya 20 wanakufa hatoi pole.. Anapamba kuona Mtanganyika Lissu anafunyongwa...
Huu ukweli Nyerere aliuona mbali sana. EU wanakuja kuuona wameishachelewa na inawatesa sana.
Msikilize Nyerere. Aliongea haya 1966
"Kuna badiliko jingine kubwa linalotokea katika mambo ya uchumi wetu, ambalo linahusiana sana na maendeleo yetu. Kesho noti za fedha za Tanzania zitatolewa kwa mara...
Ndoa bila UNYUNBA (Sexless marriage) ni ndoa ambayo wanandoa hushiriki tendo la ndoa mara chache sana kiasi kinachokadiriwa kuwa ni chini ya mara 10 kwa mwaka au mara (1) moja kwa mwezi.
Sababu za Kawaida
• Msongo wa Mawazo wa Kudumu na Kibiolojia.
• Shinikizo la Maisha na Malezi
• Mvutano wa...
Wanabodi,
Tundu Lissu ni mwanachama wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS,
Hili ni bandiko la kuipongeza TLS kwa kitendo chake cha TLS kukaa kimya tangu kutolewa kwa hukumu hiyo, TLS imekuwa kimya bila kusema chochote, au bila kukurupuka kutoa maoni yoyote rasmi ya TLS, kuhusu hukumu...
Msimamo ni ule ule . Tunataka tukipiga kura ihesabiwe kwa aliyepigiwa. Tume huru ya uchaguzi, kukomesha uwizi wa kura.
Hivyo basi, labda kama ccm imeamua kuik colonize inchi kama makaburu.
Bila reforms kufanyika 2030 hakutokua na uchaguzi
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo.
Kwa mfano, mtumishi mwenye...
Anonymous
Thread
afya
bila
halimashauri
idara
idara ya afya
katibu
njombe
sana
uhamisho
wafanyakazi
watumishi
zao
Hizi ni sifa za kijinga sana. Hawa waandishi wameweka weledi kando na kutaka sifa binafsi. Wangekuwa na mkalimani ingependeza.
https://www.instagram.com/reel/DfVWDeQtLjc/?cplk=dTY1Zzk5Nm40dno2
https://www.instagram.com/reel/DfVj_IMM9LH/?psln=dHF4cDE3ajMzODFs
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.