bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    Bila kufungamana na siasa ya chama chochote, Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa HAKI, AMANI na UTU - nasimama na Lissu

    Bila kufungamana na siasa ya chama chochote Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa haki, Amani na utu nasimama na wewe Leo . with no any political affiliation , All the best Hon TAL 🤝
  2. Kizumari Technologies

    Nimejaribu Kutengeneza CV Bure Kwa Simu Tu, Bila Word - Hivi Ndivyo Ilivyokuwa (GridPDF)

    Wadau, Kama umewahi kutuma CV kwenye Ajira Portal, BrighterMonday, Zoom Tanzania au kwenye email ya HR na usijibiwe kabisa, tatizo linaweza lisiwe sifa zako. Linaweza kuwa CV yako yenyewe. Wengi wetu tunatengeneza CV kwa Word, tunaweka picha, tunatumia table na rangi nyingi, tunafikiri...
  3. idiomer

    Haki za binadamu Tunahaki ya kuzisimamia kama nchi ndani bila kuingiliwa na nchi au vyombo vya kimataifa.

    Ila uchumi MIKOPO TOKA NJE SAWA EU, WORLD BANK, PEPFAR , US , CHINA, UAE 🤭🤭🤭
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Kama hujaolewa ni Marufuku kubeba mimba. Na ukibeba mimba bila ndoa utalea mwenyewe.

    KAMA HUJAOLEWA NI MARUFUKU KUBEBA MIMBA. NA UKIBEBA MIMBA BILA NDOA UNALETA MWENYEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba Mtemi! Mkicheka na nyani mtavuna mabua. Endeleeni kuchekea huu umalaya unaondelea mkifikiri ukikomaa mambo yatabaki yalivyo. Hayatabaki hivi yalivyo. Sheria itungwe...
  5. Foffana

    Wakuu, kuna ukweli wowote kuhusu tetesi za kufutwa kwa Sera ya Elimu Bila Malipo/Bila Ada?

    Habari, Nimeona kwenye Group la shule ya sekondari X Mkuu wa shule akiwaambia wazazi kuwa wajiandae mwakani hakutokuwa na Elimu bila malipo yaani wajiandae kulipia ada na michango mingine ndani ya shule Je, kuna yeyote mwenye taarifa rasmi au ushahidi kutoka wizara ya elimu kama kuna mpango...
  6. instinct desire

    Bila kuwa na katiba imara na yenye nguvu Lissu angekuwa bado anaropoka ujinga mitaani

    Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania. Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili...
  7. IIT MWASISI OS

    Kuna watu wana mioyo ya chuma! Jamaa amemaliza miaka 28 akitembea kwa miguu duniani kote bila kupanda boti wala ndege

    Alikamatwa Darien Gap, akakutana na Dubu Siberia, kaogelea hadi Uingereza: Huyu ndiye Karl Bushby, mtu mwenye uthubutu mkubwa zaidi duniani! Je, unaweza kuvumilia miaka 28 ukiwa mbali na familia kwa ajili ya ndoto yako? Fahamu kisa cha Karl Bushby, mtu aliyetembea kwa miguu kutoka Chile hadi...
  8. Financial Analyst

    Inawezekana labda kutoelewa lilie somo la mabikra 72 na mito ya pombe ndio inapelekea vijana wengi kujiunga na vikundi vya upiganaji bila hofu ya kifo

    Tusome maandiko kwa mantiki.
  9. O

    Taharuki Riruta: Nyufa Kubwa Zaibuka Kwenye Jengo la Ghorofa 10, Wapangaji Walazimika Kukaa Nje Bila Mali Zao

    Juma hili, hofu na taharuki zilitanda katika mtaa wa Riruta (Kibiria Road) jijini Nairobi baada ya nyufa kubwa za kimuundo kuibuka kwenye jengo la kisasa la ghorofa 10 linalokaliwa na takriban familia 95. Ingawa jengo hilo halijaporomoka, mamlaka za Serikali ya Kaunti ya Nairobi na timu za...
  10. R

    Uongozi wa CUHAS waelezeni wazazi mabadiliko ya fedha ya usafiri na si kuwatwisha mzigo watoto bila wazazi kuwa na tarifa na ufafanuzi wa mabadiliko

    Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK! Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
  11. M

    Hakuna jeshi jirani litakalowaweza watutsi kufikia 2050, Tukio la mwaka jana kuwazidi mbinu Jwtz na majeshi mengine limeonyesha walivyozidi kuimarika.

    Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi. Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
  12. T

    GODBLESS LEMA AMETUPA CODE: BILA MAANDAMANO YA WANANCHI TUTASUBIRI SANA

    Mheshimiwa Lema umeongea vizuri sana. Na upetupa code. Bila maandamano ya wananchi hakuna ushindi. Sasa ni sisi wananchi kujipanga
  13. Miguel Felix Gallardo

    JF KULIKONI!!!!

    Leo Jf kumepoa sana hakuna mada wala mijadala ya maana. Gaddemit!!! Wazee wa kusuuza koo UBWYB!!! 📌NIPO KATI NA KATI NIFATE USHAURI WA Dr.KISENG AU Dr.Janabi😣😣😇 #Mimi na chui🐯 bado sana kuachana🫂
  14. Mla Bata

    Max & Mods, tunaomba uhuru wa kuinteract jukwaani bila kufungua nyuzi! 😎

    Wasalaaam, Yaani kila wazo lazima tuanze na heading, main thread, utangulizi na hitimisho? 😂 Fanyeni mpango tuwe na uwezo wa kuchapisha mawazo mafupi mafupi kama tweets kuhusu chochote kilichopo kichwani, watu wa-like na kuchangia bila kulazimika kuanzisha uzi rasmi. Hii option inaweza kuwekwa...
  15. youngkato

    **UNATAKA KAZI ZAKO ZA KIDIJITALI ZIONEKANE ZA KITAALAMU BILA KUTUMIA GHARAMA KUBWA?**

    Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia na ubunifu ni nyenzo muhimu za kukuza biashara, kuongeza ufanisi na kujenga taswira ya kitaalamu. Iwe wewe ni Content Creator, Mfanyabiashara, Mwanafunzi, Graphic Designer au Digital Marketer, kuwa na zana sahihi kunaweza kuleta tofauti kubwa katika ubora wa...
  16. H

    Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano

    Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano ya kilele litakayohudhuria - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026...
  17. nk 47

    Je,mtumishi anaweza kuripoti bila kungiwa data sheet.

    Je mwalimu anaweza kuripoti bila data sheet kwa sababu kuna baadhi ya Halmashauri zimegoma kutoa data sheet kwa kigezo cha unayebadilishana naye mpaka aripoti.
  18. K

    Bila katiba tumeliwa na mafisadi

    Machawa shangilieni sasa lakini hamjui kesho yenu! Ni bora sana mngepigania uhuru maana uhuru utawakikishia kesho yenu. Mwangalieni mwenzenu Nchimbi na Polepole wapo wapi leo. Je wewe wanakuthamini kuliko wao?? Jiulize
  19. Ertugrul Bey

    Jifunze kujithaminii bila kusubiri kukubalika na kila mtu

    “Usiishi maisha ya kutafuta makofi ya watu, kwa sababu siku watakapoacha kukupigia makofi, unaweza kujikuta umepoteza sababu ya kuendelea na safari yako.” Katika maisha yetu ya kila siku, kuna mtego mmoja ambao watu wengi hujikuta wameingia bila hata kujitambua. Mtego huo ni kutegemea...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

    Nimehangaika Sana kuingia JF usiku huu, lakini baada ya ku connect li VPN la Kimakonde, wazungu hawa.... Usifute VPN kibindoni mwako
Back
Top Bottom