bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania EWE MKAZI WA KATORO Je, unajua sasa unaweza kusajili kampuni yako rasmi (BRELA) ndani ya siku 5 tu bila kusafiri Kwenda Dar es Salaam?

    Huhitaji tena: (i). Kupoteza siku nzima foleni (ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza (iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
  2. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Mwaipopo kajitangaza wazi anamiliki vikundi vya kigaidi bila kuhojiwa. Wakati huo polisi wakibambikia vyama shi kesi za ugaidi

    Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera. Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake polis wako bize kubambika kesi za ugaidi kwa wakosoaji wa ccm na utendaji mbovu wa serikali iliyoko...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mchongo Kamili wa Kupata Wateja wa Utalii wa Nje Bila Madalali

    Wadau wa utalii na watafutaji wote, ukweli mchungu ni kwamba kuwa na gari zuri la safari au kampuni iliyosajiliwa haikuhakikishii wateja. Watu wanaopiga pesa ndefu kwenye sekta hii hawana ushirikina wowote, bali wanajua mchezo mzima wa masoko ya kidijitali wa kudaka watalii wa Marekani, Ulaya...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ili uwe maskini, subiri maisha yakubadilikie bila wewe kubadilika

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi husubiri siku nzuri zije, nafasi ijitokeze, au mtu fulani abadilishe maisha yao. Lakini maisha hayabadiliki kwa sababu muda umepita; hubadilika pale fikra, maamuzi na tabia za mtu zinapoanza kubadilika. Maisha yako hayabadilishwi na kile unachofikiri...
  5. Vien

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hushangaa kwanini wanawake wengi hupendelea kugombania wanaume wachache, huku wanaume wengi wakibaki bila chaguo

    Katika mjadala wa mahusiano, kuna jambo ambalo watu wengi huliona lakini hulikwepa kulizungumzia kwa kina. Mara nyingi utakuta kundi kubwa la wanawake linavutiwa na wanaume wachache wenye hadhi fulani, mafanikio fulani au maisha yaliyojengeka, huku wanaume wengi wengine wakibaki nje ya mzunguko...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu!..Tundu Lissu apata nafasi adhimu ya uhuru wa kuzungumza na mawakili bila kuzungukwa na Mapolisi wa kininja mahakamani leo

    https://youtube.com/shorts/JwMVAUPBoPE?si=bofgw1NFolHE6WUi "....Waambieni wanachama wasikate tamaa, wasimame imara kukipambania chama. Waambieni wachangie chama, songeni mbele msinisubiri mimi. Nitatoka na nitawakuta huko mtakakokuwa. Nisiwakute nilipowaacha. Nikiwakuta palepale nilipowaacha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hivi tukiamua kufanya maandamano ya bila ukomo kuwataka wazungu warudi kututawala hawatatusikiliza kweli?

    Nimejaribu kuwaza maana maisha wanayoishi raia siyo poa kabisa. Ukiwa mjini utaona mambo yako sawa kiasi nenda vijijini mzee, aseeee Ni mwendo wa kubeba bendera za Britain na chanting za "Long live the King! 👑"
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi simu yako inavyokuibia matumaini ya maisha bila wewe kujua

    Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia mambo haya matano unavyojiua kiuchumi na kiakili: 1. Usumbufu wa milio ya meseji Simu inalia kila...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini imetoa orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini humo bila VISA

    Serikali ya Afrika Kusini imefanya maboresho katika sera yake ya msamaha wa visa, ikithibitisha kuwa raia kutoka nchi 22 za Afrika sasa wanaweza kuingia nchini humo bila visa kwa ajili ya utalii, biashara, au ziara fupi. Muda wa kukaa unaoruhusiwa unatofautiana kati ya siku 30 hadi 90, kulingana...
  11. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mtu akifika tu bei nauzaga kitu changu bila kupanga

    Kwa mfano kwa huu mwaka tu hii simu Ni ya 20+ nikiwa na kitu changu mtu akiniuliza tu anipe bei gani huwa namuuliza yeye anatoa bei gani. Kwa mfano Kuna siku niliuza simu nikaweka line mfukoni. Je? Na nyinyi huwa mnafanyanje mtu akikuuliza hicho kitu chako akutoe ngapi?
  12. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Malaika wanatulinda bila sisi kuwaona, binafsi nimeona malaika wakinilinda mara kadhaa na kuniepusha na mauti ya ajali barabarani

    Yani ile ajali ya barabarani ya pikipiki ilinirusha juu baada ya kufunga breki ya pikipiki ghafla ili kukwepa kugonga gari za mbele na ya pembeni baada ya gari ya mbele yangu kufunga breki gafla tukiwa kwenye mwendo.Gari iliyokuwa nyuma yangu ikanipushi pikipiki yangu kushoto ilipelekea kukosa...
  13. bless on

    JamiiForums Tanzania Usifikishe Miaka 60 Bila Kufanya Haya 6

    Wengi wanapenda kuiongelea miaka 40 Ila Mimi nitakuwa tofauti kidogo 👇 KABLA HUJAfikisha MIAKA 60, HAKIKISHA UMEFANYA MAMBO HAYA 6: 1. Jenga nyumba yako. Hata kama ni ya vyumba viwili, kuwa na makazi yako mwenyewe kunakupa utulivu, heshima na usalama wa maisha unapostaafu. 2. Weka akiba ya...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Maridhiano bila maelewano 'a forced reconciliation', ni kosa kubwa kwa CHADEMA

    Chadema wakikubali mtego wa CCM kuingia kwenye maridhiano yasiyo na tija watakuwa wamejimaliza wenyewe, madai yao yote yatafunikwa na blanketi la maridhiano. Chadema itakuwa imejiziba mdomo kwa mikono yake yenyewe kila kitu wataambiwa wasubiri matokeo ya maridhiano. Maridhiano feki hayana...
  15. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Ni fursa ya Wanasiasa kumuona "Home Boy" bila link

    Tazama.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kijana ulieajiriwa bila mkataba wa uhakika, hakikisha una ofisi kabla ya 35, mabosi wanawakwepa 35+, usisubiri kujifunza kwa uchungu life starts at 40

    Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tabia za kuunganisha kesi na mkakosa kesi kwa mnaokamata bila ushaidi mwisho wa siku mnabaki kama hamkumbuki.

    Waziri mkuu alidai kuna watanzania waliokamatwa na USD milioni 1 ila hii taarifa kama na yeye kaunganisha ili mradi kuleta porojo zake za maisha ya CCM. Wale waliokamatwa kweli ni watanzania ila wamekamatwa nchi nyengine na wala sio kwa porojo ambazo hii tabia imekuwa ikitumika polisi. Watu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kibaha Maili Moja Kwa Mbonde tumeshasahau huduma ya DAWASA, tukiwauliza wanasema maji hayana presha

    Habari ya uzima, ni mimi mwananchi kutoka Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza, mtaa wetu wa kwa Mbonde Msikitini hatupati maji kwa wiki mbili sasa na tukiwapiga DAWASA Kibaha wanadai presha ya maji iko chini. Tumechoka sanasana tunanunua maji ya maboza ya kwenye gari kwa gharama ya Sh 70,000...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa Watanzania kushangilia msaada wa afya wa USA wa USD 1.3b bila kujua masharti yake yote; Zambia, Ghana, na Zimbabwe wayamekataa!

    Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
  20. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Bila amani, fursa hupotea na ndoto husimama. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda amani. Tanzania ni yetu sote, tuilinde

    Ndio napanda kwenye jukwaa title kama ilivyotumwa kwenye laini yangu ya halotel. Vip huko nyie mmetumiwa nini?? Tuambatanishe na kapicha kama kapo. JOTO LA MAANDAMANO NI KALI
Back
Top Bottom