Ntakuwepo jukwaani mpaka December 31, 2026

Bemendazole

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
2,802
Reaction score
6,982

Ntakuwepo jukwaani mpaka December 31, 2026​

Baada ya hapo nitakuwa nimestaafu kufanya kazi za kutumia akili.

Nitajikita katika kilimo, ufugaji na hii kazi yangu ya ukarani.

Kama una jambo la kunishirikisha, ni vyema ukanishirikisha katika kipindi hiki.
Ahsante.
 
31 December, 2025 ilishapita. Kwa muktadha huo, ina maana wewe ulishastaafu. Huenda ID inaendeshwa na Admin
 
Kila kitu utakachofanya baada ya 31/12/2026 ni aKili itatumika
 
Ntakuwepo jukwaani mpaka December 31, 2026​

Baada ya hapo nitakuwa nimestaafu kufanya kazi za kutumia akili.

Nitajikita katika kilimo, ufugaji na hii kazi yangu ya ukarani.

Kama una jambo la kunishirikisha, ni vyema ukanishirikisha katika kipindi hiki.
Ahsante.
Kwamba kilimo na mifugo akili haihitajiki?
 
Back
Top Bottom