Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala...
Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo!
Hawa jamaa ukifika kwao kila mahali kuna lipa namba, kuanzia boda boda, wamachinga barabarani, wauza mboga mpaka daladala!
Yaani...
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise
Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.
Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What actually is a spirit? Maana hata hizo atoms,protons, neutrons na subatomic particles hatizioni kwa...
1. Amefanikiwa kupata makebo ya haja
2. Kiuno yaani laini chepesi
4. Kifuani tanganian zimejaa zimevimba
5. Rangi ya mtume.
. Yaani ukimlainisha mpaka unaweza kinga kwenye kibakuli ukaenda kutumia kwa mwingine. Hapa huwezi pata ngoma kabisa. Wa motoooooooooooooo.
Habari ya asubuhi wakuu!
Katika "tembea tembea" nimekutana na jamaa anadai kwamba mpaka Sasa amezika ndugu zake mia Moja.
Hivi Kuna Binadamu ambaye Yuko hai na amewahi kushuhudia misiba / mazishi ya ndugu zake kuanzia wa kwanza mpaka idadi inafika 100 na yeye bado Yuko hai?
SEPT 21, 2026: Tanzania
Hivi fikiria nyumbani mwako unashuhudia kundi la sisimizi limerindima katika kuta za nyumba na kila baada ya siku kadhaa unawaona tena, je ni hali ya kawaida au sisimizi nao wanahama kama nyumbu?
Hapana, sisimizi wakijaa katika nyumba wanaashiria mambo matatu, (1)...
DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA
~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo
Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
Huyu kijana anayeitwa SOKA ALIFANYA jambo gani baya mpaka akauwawa au kupotezwa na wenye mamlaka? Aliwakosea nini? Naomba kufahamu maana binafsi nimemjua baada ya kutekwa na SI kabla ya hapo. Ahsanteni.
Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda.
Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china,
Tusbiri...
Hii nchi ya Wagagagigikoko na kusadikika ina mambo ya ovyo sana. Tahadhari ya Elnino imeishatolewa na wataalamu lakini mpaka sasa hakuna mpangomkakati wowote wa kitaifa ulioweka na serikali kudhibiti au kupunguza maafa yatakayotokea. Wahusika wanaendelea tu na ratiba zao kana kwamba hakuna...
Halmashauri ya Meru (Meru DC), Mkoani Arusha, inachelewesha malipo ya pesa za kujikimu kwa walimu walioajiriwa katika Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Walimu tumekuwa tukifuatilia malipo tangu Januari hadi sasa, lakini tumekuwa tukizungushwa bila kupewa maelezo ya kueleweka. Tunaambiwa kuwa fedha hizo...
Sana sana alichokifanya jana Katuga ni kutoa siri za Heche za mambo yake ya fedha na biashara. lakini cross examination yake haijagusia lolote kumuingiza Lisu kwenye hatia ya Uhaini.
Lengo lake na CCM ni kumfanya Heche achukiwe na wana chadema kuwa anaiba hela za chadema. Ikumbuke kuwa Hche...
Wataalamu wa afya wamehama kutoka kwenye Partography na kuhamia kwenye Labour Care Guide kama maboresho ya ku monitor Labour process mpaka pale mama anapojifungua ili tu kuhakikisha mama na mtoto wote wanakuwa salama .
Lakini cha kusikitisha ni kwamba hii LCG binafsi nimeshaona mapungufu...
Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa msaidizi wa Raisi yuko wapi? Tunajua hayuko busy na kazi
Habari za jioni wana jamiiforum.
Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa.
Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti mwajiri wake Dodoma tamisemi mwaka 2024 kutokana na mwajiri kutomlipa haki zake mbalimbali.Kuna pesa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.