Mkazi wa Kijiji cha Saragulwa, Wilaya na Mkoa wa Geita, Wambura Nyalang’o, ameiomba Serikali kumsaidia kupata ufumbuzi wa changamoto ya leseni ya utafiti wa madini inayodaiwa kuwepo katika eneo analomiliki, ili aweze kupata kibali cha kujenga kiwanda cha kuchakata dhahabu.
Wambura Nyalang’o...
Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa.
Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
Morning wana JF
Watanzania tumekuwa tukilalamika kila siku kuhusu uongozi na mambo mbalimbali ambayo hatupendezwi nayo
1. Tumeongea sana tukiomba maboresho ya Katiba
2. Tumezungumza sana kuhusu kupitiwa upya kwa suala la Muungano
3. Tumezungumza kuhusu Mahakama na utendaji kazi wake
(Mpaka...
Hii built up ya level 5 inayotaka kielekea level 6 ,huenda ikaharibu viumbe bahari kwa 80% pamoja na kusababisha coral reef melt away katika bahari ya pacific,kumbuka visiwa vingi hapa duniani chini yake hushikiliwa na corol reefs!...
--------
El Niño can turn the tropical Pacific into a vast...
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu...
Binafsi kama mTanzania, natamani sana kujua na kufahamu hilo, kwasababu ni muda mrefu sana tangu chadema istop kusajili wanachama wapya kidigitali.
Na bilashaka yoyote hata wadau kadhaa wa JF, nadhani wanatamani na wangependa walau kufahamu hilo.
Anae fahamu tafadhal aweke wazi numbers tu...
Wakati wa shida ndio utajua nani rafiki yako.
Rafiki mpendwa wa mheshimiwa rais Samia ndugu Peter Greenberg ameshindwa kutoa pole zake kwa Samia kufuatia kifo cha mzee Hafidhi.
Kuelekea masaa 24 baada ya msiba hamna rambirambi kutoka kwa Greenberg hata kashindwa na wavuja jasho wakina Kigwangallah
Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na viwango rasmi vilivyowekwa?
Wananchi wanastahili kupata maelezo ya wazi kuhusu namna nauli...
Anonymous
Thread
dar
dar es salaam
kupitia
latra
mpaka
nauli
vijijini
wapi
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza:
Hakutakuwa na ujenzi mpya huko Gaza isipokuwa, kwanza kabisa, kutakuwa na uondoaji wa kijeshi. Siwezi kukuambia ni aina gani ya ujenzi mpya utakaokuwa; tunajadili hili na marafiki zetu wa Marekani.
Wakati mwingine tunaonana ana kwa ana...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
Tunaomba wahusika wanaosimamia malipo ya vibarua katika Jiji la Tanga watulipe fedha za kazi tulizofanya katika kipindi cha Julai na Agosti.
Tunaishi kwa ugumu kutokana na gharama kubwa za maisha, huku madeni yakizidi kutuelemea. Haya ndiyo malipo tunayoyategemea kwa ajili ya kuendesha maisha...
Habari zenu Wana-Jukwaa,
Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni, Gerezani, Kimara hadi Mbezi.
Tunatambua mchango mkubwa wa usafiri wa mwendokasi katika kupunguza...
Ni Tlaatlaah
Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.
Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi..
Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho...
Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Mpanda - Katavi.
🗓️ Agosti 30, 2026.
————————————————...
askofu
baba
baba askofu
kanisa
kuanzia
maendeleo
maendeleo ya nchi
mchango
mkuu
mpaka
mwanzo
nchi
nchi yetu
serikali
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu nchemba
Kwamba hqtujui kama huyu mtu hayupo kwa familia yake, hayupo ikulu? Na hajulikani alipo mpaka muda huu?
Nawashauri msikate tamaaa nyinyi semeni freeee Tundu Lissu
Free Dr Nchimbi ukimnya WENU ni hatari kwako na kwangu maana hatuko salama mpaka tukimbilie kenyaaaaa.
Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025.
Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!.
Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!.
Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi.
Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya.
Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
Bila maamdano haki haipatikani.
Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po.
Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao.
Bila maandamano hatupati katiba mpya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.