Natafuta notes (tuition) mtaala mpya za form two.

Natafuta notes (tuition) mtaala mpya za form two.

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,925
Reaction score
6,976
Natafuta notes kwa ajili ya vijana wangu (History ,mathematics, geography,kiswahili,biology,chemistry,physics,English) .Mwenye nazo somo mojawapo tuwasiliane.
 
Waache watoto wapumzike wajifunze vya ziada kwenye maisha haya nje ya shule

Ndio maana imeitwa likizo

Kawapeleke hata shambani wajifunze kufuga

Kuna wahitimu wengi wana vyeti, wanakosa hata nauli za kwenda interview kwasababu hawawezi kujitegemea
 
Back
Top Bottom