mpya

  1. A

    HOJA Hivi suala la kadi mpya za Tiketi kwa Abiria wa Mwendokasi ndio imeshindikana mazima?

    Kero yangu ni Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi ya MOFAT kuendelea kutoa huduma ya usafiri kuelekea Mbagala lakini wateja wapya wakitaka Kadi (Smart Card) kwa ajili ya malipo ya nauli hakuna kituo hata kimoja ambacho unaweza kupata hizo kadi. Jambo la pili: Kuna App wanaitumia inaitwa MWENDOKASI...
  2. 2v2

    Je, unaweza kuwa kwenye uhusiano mpya lakini bado ukawa unaathirika na maumivu ya uhusiano uliopita?

    Nimekuwa nikitafakari jambo hili na nimejiuliza maswali kadhaa. Je, kuna watu ambao tayari wana wapenzi wapya, wanawapenda na wanaendelea na maisha yao, lakini bado wanabeba maumivu, hofu au kumbukumbu za mahusiano yao yaliyopita? Kwa mfano: Bado unaogopa kuachwa tena kwa sababu ya...
  3. Ndagullachrles

    DC Mnzava ampa Darasa DAS mpya kuzingatia uadilifu na maadili ya utumishi wa umma

    MOSHI- 13/11/2026 Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Mhe. Godfrey Mnzava, ameshuhudia uwekaji wa ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Umma kwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Moshi, Bi. Florida Lulandala. Lulandala amepokea Kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma chini ya usimamizi wa Katibu Msaidizi Ofisi ya...
  4. BIOTOXINS

    BREAKING NEWS: MAURICIO POCHETTINO ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA WA MANCHESTER UNITED

    Manchester United imemteua Mauricio Pochettino, raia wa Argentina, kuwa kocha wake mpya. Pochettino ni kocha mwenye uzoefu katika soka la Ulaya, akiwa amewahi kufundisha Tottenham Hotspur, Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG). Anajulikana kwa falsafa ya soka la kasi, pressing, nidhamu na kukuza...
  5. Patrice Diounis

    Hata NATO wakae mbali

    Silaha mpya za maangamizi toka SINORAY na WANHOO zawasili nchini. Ni mwendo wa kumemena. Mapigo na Mwendo.
  6. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  7. L

    Mafunzo ya China yafungua ukurasa mpya kwa wanawake wajasiriamali wa Afrika Kusini

    Baada ya karibu miongo miwili katika biashara na safari kadhaa zinazohusiana na kazi nchini China, mjasiriamali wa Afrika Kusini Beauty Sonny, mkurugenzi wa kampuni ya Miradi na Utengenezaji ya Monenebe, inayojihusisha na ukodishaji wa vifaa, amejikuta tena darasani, akijifunza jinsi ya kufanya...
  8. Mad Max

    Kwenye Mji Mpya utakao jengwa Hombolo Dodoma, kutakua na first racing circuit Tanzania!

    Kuna hii Hombolo Thematic Satellite City (HOTSAC) imetoka recently, ikionesha jinsi huu mji wa Hombolo utakavyokua. Pamoja na vitu kibao vitakavyokuwepo, basi na racing circuit viwango vya FIA itakuwepo. 🔥🔥🔥
  9. C

    Nauza Wi-fi bado mpya kabisaaa

    BEI YA HARAKA: Inauzwa Airtel Internet Router (Mpya Kabisa) • Hali: Mpya kabisa (Brand New), imefunguliwa boksi tu lakini haijatumika kutokana na matatizo ya dharura. • Mtandao: Airtel (Inafaa sana kwa internet ya nyumbani au ofisini au wale wanaotaka kuuza internet mtaani). • Bei ya Dukan...
  10. N

    JAMiiCLUB YAZINDUA FEATURES MPYA ZA AUDIO CALL, VIDEO CALL, VOICE NOTES NA KUTUMA PICHA

    JAMiiCLUB YAZINDUA FEATURES MPYA ZA AUDIO CALL, VIDEO CALL, VOICE NOTES NA KUTUMA PICHA JamiiClub inaendelea kuboresha uzoefu wa mawasiliano ya kidigitali kwa kuongeza features mpya zinazowawezesha watumiaji kuwasiliana kwa njia mbalimbali ndani ya jukwaa moja. Katika maboresho haya...
  11. M

    Ni wapi naweza kupata jeans mpya original za kiume kama Abercrombie, Dickies, Levis, Madewell, n.k,

  12. Msanii

    Hitaji la Katiba Mpya

    Kuna Watu wamejitwisha jukumu la kupinga sauti za wananchi kutaka Katiba mpya. Piga kura kuunga mkono au kupinga kusudio la kupata Katiba ya wananchi
  13. N

    KERO Watumishi wapya wa RUWASA tulioajiriwa Septemba 2025 hatujapata mafunzo elekezi wala fedha za kujikimu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto zinazotukabili watumishi wapya tulioajiriwa katika Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuanzia Septemba 2025 hadi sasa. Tangu tulipoajiriwa hatujapokea fedha zetu za kujikimu, huku pia hatujapatiwa mafunzo elekezi...
  14. M

    Bei mpya za mbao aina ya pines mkoa wa Njombe

    BEI MPYA ZA MBAO AINA YA PINES MKOA WA NJOMBE 2*4: 4,500/= 2*6: 6,000/= 2*2: 1,500/= 1*4: 1,500/= 2*3: 3,000/= 1*6: 3,000/= 1*8: 5,000/= 1*10: 10,000/= MAWASILIANO 0748874928 (PIGA/SMS/WHATSAPP)
  15. Zack Abdul

    UJENZI KIELELZO UCHUMI WA SAMIA

  16. L

    Mwaka Mmoja madarakani Wa Rais Samia umekuwa wenye Matumaini Tabasamu Furaha na Mwanga Mpya kwa Taifa letu . Hakuna Aliyeachwa Nyuma

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio . Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
  17. M

    Laptop mpya

    Watalaam kwema humu....nahitaji ushauri wenu kuhusu laptop mpya yaani marimba ya mzungu iwe quality mpya. Budget 1 to 1.5mil. duka gani hawana longoongo na brand gani uhakika
  18. 2019

    Kuziba viraka barabarani kwa tope ni mtindo mpya au hakuna bajeti?

    Barabara ya Kilwa ni mbovu sana ukianza eneo la Kokoto kuelekea Kongowe, Mwandege, Vikindu, Kisemvule na mbele mbele huko. Maeneo tajwa yote yamejaa viwanda vya kutosha na idadi ya wakaazi inaongezeka kila kukicha. Naona sijui ni Tanroad wanaziba mashimo ya barabara kwa tope. Sijajua hii...
  19. darautobroker

    Car4Sale 2014 RAV4 YA DIESEL IKO SOKONI NI MPYA

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 39.9M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA RAV4 Year: 2014 Engine: 2.2L Mileage: 81K Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO ✨Cruise Control ✨Paddle Shifters ✨Electric Tailgate ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  20. idiomer

    Mtaala Mpya

    New curriculum streams 2023 1. Natural science 2. Social science 3. Arts 4. ICT 5. Agriculture 6. Sport 7. Language 8. Food and human nutrition 9. Music 10. Textile 11. Business Core subjects Maths, HTM, English, Kiswahili, Business studies, Geography. #mtaala mpya Did you know ?
Back
Top Bottom