mpya

  1. M

    House4Sale Godown na nyumba 4 za kuishi ndani ya fence zinauzwa Mnada Mpya - Dodoma TZS. 150m

    Godown na nyumba 4 za kuishi ndani ya fence zinauzwa Mnada Mpya - Dodoma TZS. 150m . Eneo: sqm 1300 Umbali: Mita 500 kutoka mnada mpya stendi Nyumba 4....mbili vyumba vitatu master zote, mbili zingine master na sebule Eneo kubwa nje ya fence kujenga hata fremu 7 za biashara Documents ni...
  2. TANAPA

    Serengeti kuwa kitovu cha utalii wa michezo Afrika, uzinduzi wa uwanja wa gofu Fort Ikoma wafungua fursa mpya za kiuchumi

    Na. Edmund Salaho - FORT IKOMA, SERENGETI Serikali ya Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuimarisha utalii wa michezo nchini kupitia uzinduzi rasmi wa Uwanja wa Golf wa Hifadhi ya Taifa Serengeti, uliopo Fort Ikoma, Wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, ikiwa na lengo la kuongeza ushindani wa...
  3. TheGreatest Of AllTime

    Pale noti ilio choka na kurudishwa BOT, Inatekelezwa na kutengenezwa mpya? Je serikali haingii gharama kubwa kutengeneza noti mpya mara kwa mara?

    Yes, karibu
  4. J

    Nauza simu ya ofisini(IP Phone) mpya kabisa

    Hii simu nilimuagizia mtu ila anasema mteja wake ameahirisha ghafla, kwa kuwa ni ndugu yangu siwezi kumforce aichukue hivyo naiuza kwa bei ya hasara tu. Ni IP phone kwa anayezijua, mpya kabisa kwenye box lake. Nipe 100,000 tu. Sifa zake zipo hapo chini na picha nimeweka Display2.4-inch...
  5. instinct desire

    Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  6. M

    KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

    Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali. Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
  7. R

    Minyonyaji haiwezi kukubali change, ndiyo maana haitaki Katiba MPYA na mfumo mzuri wa uchaguzi

    Hili ni kweli. Minyonyaji iliyoshiba ndiyo michawa inaogopa Katiba moya. Msikilize Mwalimu Nyerere
  8. A

    KERO Waajiriwa wa Julai 2026 katika Halmashauri ya Namtumbo hatujalipwa fedha za kujikimu, Wilaya nyingine wamelipwa

    Watumishi walioajiriwa Julai 2026 katika Wilaya ya Namtumbo hawajapewa fedha za kujikimu. Wachache wamepewa Shilingi 750,000 pekee, badala ya kiasi kilichoainishwa kwenye barua zao za kuripoti kazini, huku wengine hawajapokea fedha hizo kabisa. Viongozi hawatoi majibu wanapoulizwa kuhusu hatua...
  9. W

    Je, pombe imekuwa silaha mpya ya kisiasa ya Ruto dhidi ya wakosoaji wake?

    Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo. “Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
  10. V

    Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

    Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu) Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara? Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji? Je, hawakuwa na staff imara...
  11. V

    Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

    Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu) Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara? Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji? Je, hawakuwa na staff imara...
  12. Kaka yake shetani

    Inadaiwa kuna scientific calculator mpya ambazo zina AI na zina connect na simu mpaka unaweza kuuliza maswali

    Nahisi nchi yetu hawa tuliowapa madaraka ni vilaza mpaka makosa wakigundua sio leo. Asilimia kubwa teknolojia zimewafanya wanafunzi kucheat sana na ndio maana matokeo ya ufahuru ni mkubwa kuliko matokeo ya nchi. Kuna scientific calculators mpya ambazo kiakili ya kawaida unaweza kuona inafanya...
  13. Zack Abdul

    Rais Samia apokea Hati za Balozi mpya wa Sweden

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Ingrid Johansson, Balozi Mteule wa Sweden hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  14. Zack Abdul

    Rais Samia akutana na Balozi mpya wa Ubelgiji

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mheshimiwa Lot Debruyne Balozi Mteule wa Ubelgiji hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  15. Zack Abdul

    Rais Samia apokea Hati Balozi mpya Ujerumani

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Annett Gunther, Balozi Mteule wa Ujerumani hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  16. Zack Abdul

    Rais Samia apokea Hati za Balozi Mpya wa Nigeria

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Rahmat Omobolanle Mohammed Balozi Mteule wa Nigeria hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  17. A

    KERO Kukosa Fedha za Kujikimu Ajira Mpya Halmashauri ya URAMBO-TABORA kunapunguza morali yetu

    Walimu ajira mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA, hadi sasa hatujalipwa Pesa ya Kujikimu. Tukiuliza Ofisi za Utumishi hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu bali pia...
  18. Mtu mbalimbali

    Rasimu ya Katiba Mpya: Mapendekezo ya Watanzania

    Good day Great thinkers! Kufutia mjadala mpana unaoendelea kuhusu katiba mpya huku kukiibuka mitazamo mbalimbali juu ya kuwezekana au kutokuwezakana kwa upatikanaji wa katiba hiyo, umuhimu wake na nini matarajio ya waTanzania. Nimeona ni vyema nikawasogezea Pdf ya Rasimu ya Katiba ya Jahmuri...
  19. Zack Abdul

    RAIS MPYA WA IPU APATIKANA: HONGERA TANZANIA KWA KUFANIKISHA MKUTANO HUU MKUBWA WA KIMATAIFA!

    Na. Mwl Udadis, Sekei-Arusha Uchaguzi wa Milton Dick kutoka Australia kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unahitimisha kipindi muhimu cha shughuli za kimataifa zilizowakutanisha wajumbe zaidi ya 2,000 kutoka zaidi ya nchi 150. Ni muhimu kutambua kuwa wajumbe hawa si watu wa kawaida tu...
  20. M

    Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    N:B: Urais wa mabunge ni 1 term Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson hakuwa na budi kuachia ngazi kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton...
Back
Top Bottom