Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 55,407
- 135,380
Asalamaleko 😎Kijana wa kambo braza vipi😆
Asalamaleko 😎Kijana wa kambo braza vipi😆
Why not invest in Jesus first?Habari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
Nyie Ndo mnaoharibu wenzenuWhy not invest in Jesus first?
Jane mimi nataka nikuoe weweNyie Ndo mnaoharibu wenzenu
Investing in Jesus halafu abaki single doh