Hao wa hapo wilayani kwako hawakutoshi?Sawa asant ila namaanisha watu wa nje na hapa nilipo
jifunze na dini hiiWakubwa najua haiwahusu ila jana nimebadili dini rasimi na kua mwisilamu so nahisi naitaji marafiki wapya wanao elewa uislamu pls kama uko tiyali njoo inbox