Kuna watoto wengi sana duniani ambao hawakuchagua kuwa makahaba, wezi, majambazi, watumiaji wa mihadarati au watu wanaoishi maisha ya hatari. Lakini mazingira waliyokulia yaliwafanya waone hizo ndizo njia pekee zilizobaki za kuishi.
Fikiria mtoto anayekulia kwenye familia ambayo haina uhakika...
Kisa hiki cha kusikitisha kimetokea huko Bamburi, Kaunti ya Mombasa, ambapo msichana aitwaye Rose Mwende Mala anasalia kitandani kwa miezi tisa akiwa amepooza ubongo wake kwa asilimia 50, baada ya kuhudhuria sherehe yake ya siku ya kuzaliwa aliyoandaa na marafiki zake. Mnamo Februari 14, Rose...
Mimi najuta kabisa kununua TV.
Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda...
Kumeibuka week hii story yakusikitisha ya mwanamke Roselyn Asanti Mchuna almaarufu Chunna. Ambae inasadikiwa alilishwa sumu na mmoja ya rafiki zake huko nchini Kenya.
Mwanadada huyo mwenyeji wa Mombasa alikuwa influencer na mfanyabiashara mkubwa wa nyumba za kupanga maarufu kama Air BnB katika...
Kimbelembele na kupenda maujiko vimewalamba wengi sana.
Uchawi si kuruka kwa ungo, uchawi ni spirit ambayo inaweza kuzaaliwa ndani ya mtu yeyote.
Wewe endelea tu kutangaza.
Umeomba maombi ya jeshi unaanza kujifanya mwanajeshi huko kitaa.
Umesalimiana na afisa wa usalama na wewe unaanza kushona...
Kwanini marafiki zetu hawanunui Biashara kwetu wanaenda kununua sehemu nyingine ?
Unakuta unauza kitu fulani ila rafiki yako hanunui kwako,unashangaa badae anacho hicho kitu.!!
Wakuu, '
Ushauri wa bure: Usikubali kabisa kuwa 'Official Photographer' wa marafiki zako mkienda out! 😂
Unateseka kupiga picha 200, unalala chini kutafuta angle, mwisho wa siku kwenye album nzima huonekani ata kwenye kona, unakuwa mpenzi mtazamaji tu.
Halafu kibaya zaidi, ukishalipa hilo...
Wataalamu wanasema, kuwa na marafiki wengi wa kike ni sawa na kufuga kuku wengi bandani, pale unapohisi njaa unamkata kuku mmojawapo, unachinja na kumla.
Ingawa changamoto yao, ya kuwa nao wengi, wanakula sana mapumba (hela) ila hawata taka kuathiri vyanzo vyako vya fedha; ila ni bora wao...
Je wajua kwamba urafiki wa kinafiki ni moja kati ya mambo yanayouma na kuacha majeraha makubwa moyoni?.
Ni pale mtu anayejifanya yuko na wewe mbele ya macho yako, lakini nyuma yako anakuwa wa kwanza kukuharibia, kukusengenya, au kufurahia anguko lako?.
Wanajifanya ni "ndugu" lakini kiuhalisia...
22 August 2026
https://m.youtube.com/watch?v=4x2ejQJnBQk
Marafiki, wanazuoni na makamaradi wanampongeza proffesa Shivji kutimiza miaka 80 ya maisha yake na mchango wake katika jamii kupitia kazi zake za uwakili, mwanazuoni uanaharakati pamoja na maandishi mbalimbali ambayo ameandika kuwahusu...
Haya haya wambea wenzangu njooni..!! 😹
Juzi kati nilishikwa na homa. Sasa kuna mtoto wa sis angu alikuja kunisalimia ni mwanachuo wa chuo kimoja hapa jijini..!!
Tukaanza kupiga story na kupeana pole. Mara nyingi nimezoea kumuona na bff wake Rose (sio jina halisi) ikabidi nimuulize rafiki yako...
Katika ulimwengu huu wenye kelele nyingi lakini uliojaa mioyo pweke, swali hili halitoki tu midomoni, bali linasikika kama kilio cha chini chini kutoka ndani kabisa ya roho inayotafuta makazi.
Upweke si tu hali ya kuwa peke yako, bali ni ule mzigo mzito unaokukaba koo katikati ya umati wa watu...
Ni muhimu sana kwa watu waliopo ktk ndoa kuwa na Family friend au waliopo kwenye mahusiano serious kuwa na marafiki wa karibu .
Mwanamke uliyepo ktk mahusiano jitahidi umtambulishe rafiki wako wa karibu kwa mwanaume wako , na mwanaume uliyepo ktk mahusiano jitahidi umtambulishe rafiki yako wa...
Nimekuwa nikijiuliza kila mara ni kwa kiwango gani mtu anaweza kujitoa kwa ajili ya mwingine. Wakati mwingine watu tunaowadharau au kuwaona hawana thamani ndio wanaoweza kubadilisha maisha yetu kabisa.
Hii ni hadithi yangu kuhusu majuto, msamaha na somo ambalo sitawahi kulisahau.
Nilipokuwa...
Mko salama?
Toka jumamosi nilikua na shida kama ya laki 5 hivi,kila rafiki niliyejaribu kumpigia aniazime anasema hana.mimi nikiwa nazo huwa ni mwepesi kutoa ila siku nikikwama sina msaada kutoka kwenye cycle yangu.
Nafikiria kubadili aina ya watu wanaonizunguka kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.