use alternative networks plz plz 🐒Ivi kwann mtandao wa Tigo kila siku tatizo la mtandao ni wao tu? Hapa nataka kufanya huduma ya tigo pesa inaniambia mtandao unasumbua, inamaana leo nalala giza sasa kmme.
Mod; msihamishe aka kaThread kangu
Kwamba bando bei juu na mtandao unasumbua 🤣🤣🤣Ivi kwann mtandao wa Tigo kila siku tatizo la mtandao ni wao tu? Hapa nataka kufanya huduma ya tigo pesa inaniambia mtandao unasumbua, inamaana leo nalala giza sasa kmme.
Mod; msihamishe aka kaThread kangu