mtandao

  1. Magari damu

    Anahitajika dereva wa taxi mtandao (bolt, uber) DODOMA

    Habari wakuu, nina gari yangu Toyota IST nahitaji dereva kwa ajili ya kufanyia biashara ya taxi mtandao. Dereva aliepo Dodoma. Sifa za dereva 1. Uwe na daraja sahihi la leseni ya kuendesha gari ndogo za biashara 2. Mwenye uzoefu kwenye biashara hii 2. Tabia njema na uaminifu 3. Mstaarabu...
  2. Waufukweni

    Tundu Lissu Kupandishwa Mahakamani Kisutu 19/11/2026 kwa kosa la Uchapishaji wa taarifa za Uongo

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anatarajiwa kurejea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Novemba 19, 2026, kwa ajili ya kutajwa kwa kesi nyingine ya jinai inayomkabili ya kuchapisha taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo kupitia...
  3. Herymiller

    NSSF namna ya kufanya madai kwa njia ya mtandao

    Kwa wale wenzangu na mimi tuliopoteza kazi lakini tuna chochote kitu . Tupite kwe wakuuu tuokote chochote kitu bila kuchoka Utaratibu ndio huo hapo chini Nikitoa nitarudi na mrejesho maaana ni week ya pili sasa napambana na mwajili wa mwisho afanye jambo
  4. keneddelly

    Ni takribani mwaka mzima tunaandaa mtandao wa Kibiashara wa KenteXa. Leo tumeachia App yake ya kwanza ya Android

    Ni Jambo la pongezi kwangu na timu yangu , kufanikiwa kupandisha Application ya kwanza ya android kwenye jukwaa la Play store. Hizi hapa ni baadhi ya changamoto tumejaribu kuzitatua kupitia mfumo wetu wa kisasa wa KenteXa. Kwa mara ya kwanza Tanzania , tumetatua changamoto ya kutengeneza...
  5. M

    Rais wa El Salvador ameweka video kwenye mtandao wa X ikionyesha mashambulizi dhidi ya eneo ambalo alisema ni makao makuu ya kundi la 400 Mawozo

    Rais wa El Salvador ameweka video kwenye mtandao wa X ikionyesha mashambulizi dhidi ya eneo ambalo alisema ni makao makuu ya kundi la 400 Mawozo. Waziri Mkuu wa Haiti, Alix Didier Fils-Aimé, amesifu "kujitolea kwa jeshi la El Salvador katika vita dhidi ya magenge ya wahalifu" baada ya shambulio...
  6. Idugunde

    Mpaka inafika 2030 CCM mtandao watatuumiza sana kama taifa. Watatunyonya mpaka tutakoma

    Watakamata na kuua watu, wataiba mali za umma. Watateka na kuua watu. Umasikini utatamalaki maana wao na familia zao watakula mema ya nchi. Tufanyeje ili waondoke madarakani kabla ya 2030?
  7. VEN Ken

    Mtandao wa Siri

    Ndugu watanzania n wangapi washajiuliza swali hili ambalo mm nimelitafakar mda huu,Kwa kiufup kabisa nimewaza kwamba hv inawezekana kabisa huu mtandao unaoteka na kuua watanzania kwenye hizi siasa zetu,hv haiwezekan n watu ambao hata hawapew maagizo bali n kikund Cha Siri ambacho kiliundwa Ili...
  8. figganigga

    PostGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu kwenye Mtandao wao

    Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi. Sasa hakuna...
  9. Roving Journalist

    MWAUWASA yasema Mteja anaweza kuomba huduma ya kuunganishiwa maji kwa njia ya Kidigitali, si lazima afike ofisini

    Baada ya Mdau kuandika hoja akieleza ~ MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). MWAUWASA: Kuhusu suala la maunganisho mapya ya huduma ya maji, kwa sasa Mamlaka imeboresha zaidi na Mteja anaomba...
  10. O

    Mvutano Kwenye Mtandao: Mzungu Agoma Kulea Mimba Aliyosingiziwa

    Hivi karibuni, kanda ya video imeibuka mtandaoni na kusambaa kwa kasi ikimuonesha mzee mmoja wa kizungu akiwa na ghadhabu akieleza masaibu yaliyomfika baada ya kudaiwa kupewa ujauzito na msichana mdogo. Kulingana na mzee huyo, baada ya miezi minne kupita tangu awasiliane na msichana huyo...
  11. Keyboard_Warrior

    Kampuni ya mtandao wa YAS imeajiri matapeli!?

    Leo nimepigiwa simu na tapeli aliyejitambulisha kuwa anapiga simu kutoka makao makuu ya kampuni ya mtandao wa YAS, baada ya salamu tapeli huyo ananitishia kuwa laini yangu ya simu itafungwa baada ya muda mfupi. Nikamjibu fungeni tu wala hamna tatizo, nitasajili laini nyingine. Alichonijibu...
  12. Etwege

    CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

    Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme . Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata...
  13. Idugunde

    Humphrey Polepole hata kama hautapatikana umelifumbua macho taifa lako. CCM mtandao ni wezi na wauaji.

    Kifo cha hayati JPM? Ulitamka wazi kuwa wamehusika ili waliibie taifa letu. Hapo ndipo Watanzania wakapata ukweli kuwa wapinzani na wasio wapinzani wanauuliwa na CCM mtandao ambao wamemuweka Samia Madarakani. Ulitamka mambo mengi mazito ambayo yaliyafanya watanganyika watake kulikomboa taifa...
  14. BIOTOXINS

    KERO Tiketi za SGR: Mtandao unaonyesha "seats full" wakati mabehewa yapo wazi, nani ananufaika na mkakati huu?

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  15. T

    Mtandao wa WhatsApp unaua mahusiano

    Ni bora mawasiliano yakawa kwa njia ya call then physical. Lakini kuchat na mpenzi wako whatsapp kunaharibu sana mahusiano. Hiki nimeki observe kwa upande wangu. Kuna wengine ni wazito kutumia hii mitandao , so blue tick na Grey tick hata kwa siku tatu zinaweza kubadili kwa kiasi kubwa...
  16. Enthusiastic

    Vodacom mtandao wenu unasumbua tangu jana, kuweni serious!!

    Tangu jana napata shida ya mtandao, si normal call si internet, kote mtandao unasuasua. Vodacom nitawahama soon, wapuuzi nyie
  17. General Nguli

    Jinsi ya kutumia mtandao wa X kwenye Windows laptop.

    Nimekuwa na changamoto ya kutumia mtandao wa X kwenye Laptop yangu Ninatumia mtandao wa X zamani tweet kwa miaka kadhaa.Lakini imekuwa changamoto sana kwenye Laptop yangu Tangu matumizi ya VPN yaanze kutumika. Naomba kujua namna notakavyo Counter hili tatizo. Natanguliza shukrani
  18. Yoda

    JF ndio mtandao unaoitambulisha Tanzania kama bado nchi yenye watu wenye akili

    Katika mitandao yote kwa hapa Tanzania ni JamiiForums tu ndio utakuta nyuzi na majadiliano magumu yenye kufikirisha bongo na hata kuumiza akili. Mitandao mingine yote ukiondoa wanaharakati wachache na wafanyabiashara wanaofanya matangazo ni utumbo na uchafu mtupu. Maudhui yaliyopo ni ya akili...
  19. M

    Kero gani huwa unapata mtandao wa intanet ukikosekana eneo ulilopo?

    Kuna maeneo ukienda kupata mtandao inakuwa kipengele sana, mtandao haushiki na ukishika ni kwa kuutafuta mpaka unatamani kulia, kama ni wa kuperuzi sana unashindwa kama ni mtu wa kufanya kazi mtandaoni ndio hali inakuwa ngumu. Mawasiliano pia inakuwa changamoto kwa yale yanaohitaji mtandao moja...
  20. exalioth

    Baarua Kwa Mtandao Wa Halotel.

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU CHANGAMOTO YA MTANDAO WA HALOTEL MKOA WA GEITA Ndugu Huduma kwa Wateja, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mteja wenu wa mtandao wa Halotel niliyepo mkoa wa Geita. Naandika ujumbe huu kutoa malalamiko rasmi kuhusu huduma yenu ya kupiga na kupokea simu ambayo...
Back
Top Bottom