Mke kahamia chumba Cha watoto wiki sasa

Mke kahamia chumba Cha watoto wiki sasa

Wataalamu wa mahusiano mke kahama chumbani kaenda kuwa analala chumba Cha watoto wiki sasa,nikitafakari labda Kuna jambo tutakua tumepishana sioni, ndoa Ina miaka 13
Unaoneka hutumii kiupee.......mwanamke hua ananzaa kukutest kama akifanya jambo itakuaje ameona wew ni easy man simple man......We piga uyoo mbuzi mkate hata mguu iyo kesi inaongeleka ila usiue....
 
Wataalamu wa mahusiano mke kahama chumbani kaenda kuwa analala chumba Cha watoto wiki sasa,nikitafakari labda Kuna jambo tutakua tumepishana sioni, ndoa Ina miaka 13
Miaka 13 na hamjuani tabia zenu kuhusu kiasi/chanzo cha furaha,huzuni,hasira,akipendacho na asichokipenda mwenza,hali ya afya ya akili na mitazamo ya maisha?Ni muda sasa, aidha muende tuisheni ya NDOA NA MAISHA au mjiunge chuo muanze kozi muwe "STUDENTS OF LIFE and household management(shahada ya Kwanza)!
 
Amehamia chumba cha watoto 😂
Je hao watoto wapo ni wangapi na wana umri gani?

Chagua option 3 kati ua hizi
Mosi mfuate chumba cha watoto huko huko 😂 😂 😂
Pili baki chumba cha ndoa na usimuulize lolote endelea na maisha kama huoni kitu
Tatu lete mke mwingine chumbani kwenu
Hii hakikisha ndoa huna naye
 
Mambo yakukaa chini unamuuliza mtu mzima hapa maisha yananichanganya biashara zinanichanganya
Basi ulikua huja komaa kuanzisha famili umekurupuka, takupa mfano mke wangu mimi alinikataza nisimiliki namba yake, hataki kuona sms zangu waala kumpigia mwanzoni niliona ajabu marafiki walinicheka, nitaka nivunje husiano ila nika tulia nikawa naenda nae taratibu mpaka akaanza kuachia nilicho kifanya, akinipa u hi wake nilishambulia sehemu zake za siri mpaka akawa anahisi moto, nilitafuta pakumshikia mbona mambo yalikaa sawa bila kuhusisha watu, pati la kimyakimya
 
Back
Top Bottom