Unataka kusemaje kwani Obe π....watu wa Dar wana mambo mengi sana na wako busy, korosho nimetuma ila mtu wa bajaji hakuweza kumpata akasingizia joto liliifanya simu yake isiweze kupata GPS.
Tarehe ya bethidei kuwa nayo siyo ajabu, wewe huna kalenda?
ππππ...nilitaka kusema jambo moja kubwa, hili joto lina hasira na wewe ndo barafu yangu