Ulipotea sana, itakuwa ulijipata, nikikopa maneno yako mdauHili jukwaa limekuwa kimya sana, naona wadau walishajipata na hawataki tena kuitwa kapukuz wala kusikia neno kapuku.
Shunie Makiwendo Espy_ moudgulf Obe Tresor Mandala Lee makaveli10
Daaah bado sijajipata bro, bado naunga unga maisha ni vile unaweza fika hapa ukajikuta uko mwenyewe tu.Hili jukwaa limekuwa kimya sana, naona wadau walishajipata na hawataki tena kuitwa kapukuz wala kusikia neno kapuku.
Shunie Makiwendo Espy_ moudgulf Obe Tresor Mandala Lee makaveli10
....ha hahahaha, haikuwa ikawa na itaendelea kuwa maana wi-fi niliyokuwa naitegemea kuwasiliana kwenze jukwaa hili, mwennye nayo alibadili mywila, nikabaki kuha ha tu. Uko na njia nyingine naweza wasiliana naye?Dangerously close kwenye mabano ilikuwaje haikuwa Obe
Sasa mpaka tarehe ya bethidei unaifahamu au ulimpa ahadi hewa ya korosho? Makiwendo nikutakie besidei njema ila mkubwa Obe anajambo la kuteta nawe.....ha hahahaha, haikuwa ikawa na itaendelea kuwa maana wi-fi niliyokuwa naitegemea kuwasiliana kwenze jukwaa hili, mwennye nayo alibadili mywila, nikabaki kuha ha tu. Uko na njia nyingine naweza wasiliana naye?
....watu wa Dar wana mambo mengi sana na wako busy, korosho nimetuma ila mtu wa bajaji hakuweza kumpata akasingizia joto liliifanya simu yake isiweze kupata GPS.
😁 kaka sikuwa nafahamu, ambayo nimeikariri ni ya Shunie....watu wa Dar wana mambo mengi sana na wako busy, korosho nimetuma ila mtu wa bajaji hakuweza kumpata akasingizia joto liliifanya simu yake isiweze kupata GPS.
Tarehe ya bethidei kuwa nayo siyo ajabu, wewe huna kalenda?
the lates iphone kumzawadia siyo tatizo, shida ni namna gani anaipata labda akubali twende wote pale dukani na hapa suala la kodi lazima liwekwe bayana. Nikiwa na uhakika mbona kukamata basi hapa Ntwara kuja Dasilamu sio issue hata kidgo. tena nikija nitakuwa nimeua ndege wawili kwa jiwe moja, nitapitiliza Dodoma makao makuu ya chama😁 kaka sikuwa nafahamu, ambayo nimeikariri ni ya Shunie
Unaonaje sasa ukimzawidia hata latest iphone
Ndio maana hawakukosea kukuita sukari ya warembo, maana maneno mengi huna we ni vitendo tu. Na sasampa ndicho kitu Makiwendo angependa kuona.the lates iphone kumzawadia siyo tatizo, shida ni namna gani anaipata labda akubali twende wote pale dukani na hapa suala la kodi lazima liwekwe bayana. Nikiwa na uhakika mbona kukamata basi hapa Ntwara kuja Dasilamu sio issue hata kidgo. tena nikija nitakuwa nimeua ndege wawili kwa jiwe moja, nitapitiliza Dodoma makao makuu ya chama
Duh, hapo kwenye sucre niondoe hadi unifahamishe maana ya sasampa, ndugu yako mimi ni kijana mwenye mambo ya kizee, hapa nasikiliza album ya TP OK Jaz ya mwaka 1979, sauti za wakali kama kina Simaroo Lutumba, Kiambukuta na mtaalamu mwenyewe Mayaula Mayoni na ulevi wangu kwenye gitaa la mkongwe FrancoNdio maana hawakukosea kukuita sukari ya warembo, maana maneno mengi huna we ni vitendo tu. Na sasampa ndicho kitu Makiwendo angependa kuona.
Akipunguza ubusy nadhani atakuja jukwaani
Mkali wa gitaa pekee nayemtambua ni dally kimoko, hao wengi bado wanachakujifunza.Duh, hapo kwenye sucre niondoe hadi unifahamishe maana ya sasampa, ndugu yako mimi ni kijana mwenye mambo ya kizee, hapa nasikiliza album ya TP OK Jaz ya mwaka 1979, sauti za wakali kama kina Simaroo Lutumba, Kiambukuta na mtaalamu mwenyewe Mayaula Mayoni na ulevi wangu kwenye gitaa la mkongwe Franco