King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,476
- 7,492
Hizi ni one of the misleading stats.
Useless stats kama hizi ndiyo zilizofanya Man United wakampa Mkataba Carrick hatimae akataka kuwashusha Daraja.
Yaani hizi stats ndiyo zitwambie kuwa Slot ni bora kuliko Klopp au?