Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,527
- 33,005
Definitely we need kwanza kumsajili Arujo Permanently.....Yes yes
We need a Right bacj & Left Back
And Two Midfielders, we are sorted.
Araujo has been very good for us pia
Klopp may be rebuilding Wirtz's confidence internationally, while Iraola is developing his tactical effectiveness at club level 😂😂😂Manyanza salama.....
Unasema aje kuhusu Floria hizi mechi 2 EPL na sana sana hii ya Vs Red Devils..... Je ni Klopp effect timu ya taifa ama hatimae Andani kashajua namna Bora ya kumtumia dogo😄😄😄🔥🔥🔥🔥......
YNWA
Bado nasherekea kumbukizi yetu ya Mabao saba kwa Nunge
😍🥰Love you st anne
🤓🤓🤓Sawa Miss Liverpool wetu.Bado nasherekea kumbukizi yetu ya Mabao saba kwa Nunge
Kama 7 ikiwezekana, haya 4 ni machache.
🤓🤔🤔🤔🤔🤓🤓🤓 Who cares we just need him performing at the highest level ...Klopp may be rebuilding Wirtz's confidence internationally, while Iraola is developing his tactical effectiveness at club level 😂😂😂
Liverpool haiwezi kuchukua taji msimu huu.🤓🤓🤓Sawa Miss Liverpool wetu.
Usikae mbali sana hii EPL bado kabisaa sio kwa Arsenal Wala Manchester City mwenye uhakika hivyo ipo wazi sana .. Kila mmoja ashinde mechi zake.
Mechi ijayo vs Manchester united ni January 2027 Inshallah tufike salama na tutue Trafford kwa ushindi.
YNWA
Liverpool bingwa msimu huuLiverpool haiwezi kuchukua taji msimu huu.