epl

  1. Mad Max

    Karibuni Muone Mpira kutoka kwa Mabingwa wa EPL na Mabingwa wajao wa UEFA!

    Tunakipiga na Slavia kutoka Czech. Arsenal Bingwa
  2. I

    Season Talk: How the Tanzanian Community Follows the EPL and Ligi Kuu

    Where the season gets debated, thread by thread. In short: Ask around the community and the pattern is clear: the fans who enjoy the EPL and Ligi Kuu season most are the ones who separate the talk from the facts. Hot takes are fun, but they are not information. If you bet, treat it as a small...
  3. Duh Aisee

    EPL, Bundesliga,Laliga,Conference,Europa,Champions League ,Dfb-pokal Alafu bado unakosa Odds 20??? Huu ni mwezi wa kustaafu kubeti ukituliza kichwa

    Hapa sio odds 2 tu ukitulia unatengeneza hata odds 50 mpaka 100 kikubwa focus upande wa magoal. Hasahasa hawa wajerumani wa Dfb na Bundes rahisi kuokota huko Conference unaweza hata kucheza direct na ukaokota odds za kutosha. Weka 10,000 mpaka 50,000, tustaafu game nyingi sana huu mwezi...
  4. Zack Abdul

    Kwa hadhi na uwezo Simba SC, ilipaswa kushiriki ligi kubwa duniani kama EPL

  5. C

    EPL Matchday – Uchambuzi na tathmini

    EPL MATCHDAY – UCHAMBUZI & TATHMINI Karibuni kwenye thread maalum ya English Premier League, ambapo tutakuwa tukifuatilia na kuchambua kinachoendelea ndani na nje ya uwanja. Hapa hatutaangalia scoreline pekee. Tutajaribu kuelewa kwa nini matokeo yametokea na yana maana gani kwa safari ya...
  6. Nehemia Kilave

    Misimamo na yahusuyo Jamiiforums fantasy premier league kwa msimu mpya wa ligi kuu Uingereza (EPL) 2026/27 .

    Habari JF ,Ligi kuu Uingereza na JamiiForums fantasy premier league zimerudi , jiunge sasa kupitia Code wemf7z au autojoin kupitia https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/wemf7z Ligi hii ni just for fun lakini pia itakujengea ushindani mkubwa kuweza kushindana hata katika ligi...
  7. Jannatul Firdaus

    EPL yarudi kwa kishindo: Arsenal yaanza utetezi wake leo

    Ligi Kuu England (Premier League) 2026/27 inaanza rasmi leo, Ijumaa Agosti 21, huku mabingwa watetezi Arsenal wakifungua msimu dhidi ya Coventry City kwenye Uwanja wa Emirates. Mchezo huo unatarajiwa kufungua msimu wenye ushindani mkubwa, huku Arsenal ikilenga kutetea taji lake dhidi ya...
  8. TheGreatest Of AllTime

    Leo ligi kuu inaanza, fungua link hii iliyomo JF maalum kwa ajili ya msimu huu wa EPL

    Arsenal kila la kheri https://www.jamiiforums.com/threads/english-premier-league-uzi-maalum-wa-msimu-2026-2027.2455265/
  9. E

    EPL isharudi Msimu 202627, JamiiForums Fantasy League imerejea. Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali

    Habari za siku nyingi , EPL isharudi Msimu 202627 , JamiiForums Fantasy League imerejea . Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali zilizopo nchini . JamiiForums Fantasy League bado ni just for fun na kukujengea uwezo wa kushinda kwenye ligi mbalimbali na...
  10. Papillon 1906

    Kimazingira Arsenal kabebwa ubingwa EPL 2025/26

    Baada ya rejea mbalimbali za matukio ikiwemo penati,faulo na kadi nyekundu katika ligi kuu ya uingereza msimu wa 2025/26. Imebainika kwamba Manchester city walitakiwa kuongoza ligi kwa pointi mbili akifuatiwa na arsenal kabla ya mechi ya mwisho . Matukio mawili muhimu: 1.Dalot alitakiwa kupewa...
  11. Eronda

    Uganda Discussing "Visit Uganda" English Premier League Jersey Sponsorship, to boost inland Tourism.

    The government is in discussions with several English Premier League clubs over a potential jersey sponsorship arrangement that would see the 'Visit Uganda' brand featured prominently on match kits, in a move aimed at boosting the country’s global tourism visibility. The strategy mirrors...
  12. Doto12

    Kwa takwimu hizi, Huyu hakustahili kubeba EPL

    Yaan8 ni kipofu Hata mashabiki wake ni vilaza
  13. Alexido jz instagram

    Kombe la Arsenal, EPL lapelekwa Kenya, bongo tunafeli wapi?

    Kuelekea juma tatu ambapo, parade Lita happen uingereza jijini London tayari losha Anza kizungushwa nchi tofauti, ambapo limepita Kenya na litaendelea kwingineko sidhani kama bongo litakuja. Jamaa yangu Mmoja kanijuza wakenya wana connection kubwa hapa duniani na ndo mana hawakuhitaji...
  14. Mad Max

    Leo ndio Mechi za Mwisho za EPL 2025/26: Hakuna Mechi isio na Goli!

    Tunafunga msimu kibabe sana. Kila mechi goli limefungwa, hamna droo ya 0-0 leo. COYG
  15. Kichuguu

    Arsenal Kushinda Ubingwa ni dalili kuwa EPL imeshuka viwango

    Arsenal ni sawa na JKT au TRA! Matusi hayaruhusiwi hapa
  16. Financial Analyst

    Nani anaefaa kuwa mchezaji bora wa EPL msimu huu? Bruno au Rice?

    Nani anaefaa kuwa mchezaji bora wa EPL msimu huu? Bruno au Rice?
  17. loose Nut

    Hongera ARSENAL kwa kutwaa Ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya kupita Miaka 22

    Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja. Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
  18. Mad Max

    Ndoto za Manchester City kuchukua EPL zinayeyuka rasmi leo!

    Leo mapigo makuu mawili, moja Pep hampo nae tena season ijayo na pili, Bournemouth hawafungiki kwao. Ni hayo tu.
  19. Mwanamwana

    FT: Manchester United 3-2 Liverpool | EPL | Old Trafford | 3 May 2026

    Macho yote leo yako Manchester United na Liverpool watakapokutana katika dimba la Old Trafford kwenye mchezo wa English Premier League. Huu ni mtanange wa kihistoria wenye ushindani mkubwa, kila timu ikihitaji pointi muhimu ili kujihakikishia nafasi ya tatu na kushiriki mashindano ya Ulaya...
  20. secretarybird

    Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL haya yatatokea.

    Endapo Arsenal itatwwa ubingwa wa EPL mambo mengi yanaweza kutokea/kubadilika. Haya 👇ni baadhi tu. 1. Paul kagame atakuwa kibonge maana Arsenal ndo club aioendayo duniani. 3. Mashabiki wa manjesta unaited watazidi kukonda japokuwa uwezekano wa wa kumaliza kwenye top four ni mkubwa kwao. 4...
Back
Top Bottom