Nilishasema nilishaona dalili za ubishi, na hakika sikua mbali na ukweli. Formal education is formal education unless unambie unataka tu kubisha maana hata wazungu kabla ya kuwa na utaalamu wa hivi sasa walikua wanachoma wachawi, wanatawalana kidikteta, wanakufa kwa magonjwa yanayotibika n.k.
Formal education ni ya wazungu waafrika wengi ilikuwa infornal education kasoro wamisri na CHADEMA wako nje ya system sio waliotawala toka uhuru kwahiyo tunaamini wataleta mabadiliko kuliko CCM kwa sababu "problems cannot be solved by the same level of thinking created them" maneno ya mwanasayansi Albert Einstein kwahiyo CCM must quit from ruling the government immediately, completely, without any condition for Tanzania to develop.
Pia Chadema wana credibility za kuongoza kuliko CCM zile bilioni 300 zilizofichwa Uswiss na watu wa CCM tayari serikali ya CCM ilishawataja majina wahusika na kuwafikisha mahakamani? kama bado CCM bado wanamtawala nani?
]