😝😝😝😝😝😝We Mku.ndu nini SQM 200 27milion?
🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁square meter 200 unajenga Karo la vyombo au?
Ni ndogo sana?? 27Mil aongeze kidogo?We Mku.ndu nini SQM 200 27milion?
200 au 2000sqm?Nauza kiwanja chenye ukubwa wa Sqm 200 kipo Kigamboni Mwera. Kina msingi wa fence na wa nyumba
Mwasiliano 0673 17 5000
Bei 27m
Tatizo la kukimbia hisabati hiloNauza kiwanja chenye ukubwa wa Sqm 200 kipo Kigamboni Mwera. Kina msingi wa fence na wa nyumba
Mwasiliano 0673 17 5000
Bei 27m
Huyu ndiye mmempa Platinum member na matusi makubwa haya Maxence MeloWe Mku.ndu nini SQM 200 27milion?
Sqm 200 ni ukubwa wa msingi wa nyumba au kiwanja mkuu?Nauza kiwanja chenye ukubwa wa Sqm 200 kipo Kigamboni Mwera. Kina msingi wa fence na wa nyumba
Mwasiliano 0673 17 5000
Bei 27m
Mwenye kiwanja mwenyewe spanner alizopigwa huko juu na uzi wenyewe ameuona mzito kakimbia.Kiwanja kimegoma kupigwa picha kinataka muende mkaonane nacho sw.
KAZI ni kipimo cha utu
ukija Arusha ndo utastaajabu bei za viwanja 20×20Hii biashara ya Ardhi Serikali iingilie kati