kinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Good Neighbour

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa nzuguni Dodoma kinatazama lami

    KIWANJA KINATAZAMA BARABARA YA LAMI NZUGUNI _______ MAHALI-NZUGUNI _______ UKUBWA WA KIWANJA-3513SQM _______ KINA FENSI UPANDE WA NYUMA _______ DOCUMENT-HATI _______ BEI- 350M (MAONGEZI YAPO) _______ 0622111186 (CALL+WHATSAP)
  2. Semeni Bugoke

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Ikwiriri (Rufiji) - Robo Hekari (100x100), Karibu na Barabara Kuu ya Lindi/Mtwara

    Wakuu, ninauza kiwanja changu mwenyewe (mimi ni mmiliki, hakuna dalali) kilichopo mkoani Pwani, Wilaya ya Rufiji. Eneo linafaa sana kwa makazi au uwekezaji wa kibiashara kwa sababu ya ukaribu wake na barabara kuu na stendi. Sifa na Maelezo ya Kiwanja: Mahali kilipo: Mkoa wa Pwani, Wilaya ya...
  3. D

    Kitanda kinauzwa 350k

    Habari kitanda hiki kinauzwa 350k
  4. S

    Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini

    Habari , Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini (Mailimbili kwa Mwatano ) Ukubwa ni 331sqm Huduma zote zipo ndani ya eneo. Kipo Barabarani. Kimepimwa na Survey form ipo . Bei ni 15Million (Mazungumzo yapo ) Mawasiliano 0796007039
  5. S

    KIwanja kinauzwa Dodoma Mjini

    Habari , Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini (Mailimbili kwa Mwatano ) Ukubwa ni 331sqm Huduma zote zipo ndani ya eneo. Kipo Barabarani. Kimepimwa na Survey form ipo . Bei ni 15Million (Mazungumzo yapo ) Mawasiliano 0796007039
  6. Strong25

    Kiwanja kinauzwa

    -Kiwanja kipo vianzi kwamtopa (vikindu) pwani kinauzwa 5M . -kinaukubwa wa mita 12x21 kinamsingi wa vyumba viwili kimojawapo ni master , jiko , sebule, choo chandani Mteja serious njoo inbox
  7. Think2

    Kisiwa cha lupita kinauzwa

    Huyu mzungu anaetaka kuuza kisiwa hiki ni mmliki wa kisiwi? Je nani alihusika kuuza hicho kisiwa mali ya watanganyika ? Kwamba kuna watu wachache wanajimilikisha visiwa na kuviuza kwa wazungu ndugai aliwahi kusema hii nchi utakuja kuuzwa sasa kama wameuza kisiwa na haiko documented mahali...
  8. G

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Kibaha Mfipa TZS 5.5M

    Kiwanja hiki kinauzwa kibaha kwa mfipa 5.5M Upande wa mama Anna Mkapa. Km 5 kutoka morogoro road Mawasiliano 0754088347
  9. G

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Haraka Kibaha - 6M TZS

    Ninauza kiwanja changu kwa dharura, kipo kibaha kina sq merter 514 Bei 6M kimeshapimwa tayari,na kuhuduma zote kama makazi ya watu, Afya,shule,maji n.k na majirani wapo na mduka yapoo na misikiti ipo na makanisa yapo. Kiwanja kipo kwa mfipa upande wa mama anna mkapa kipo sehemu inaitwa...
  10. S

    Kiwanja Kinauzwa Nyamhongoro Mwanza (502 sqm)

    Kiwanja kinauzwa Nyamhongoro Mwanza, ni sehemu nzuri sana, 502 sqmts, block 5, kuelekea kwa mapadri...Bei 26 mil..maongezi yapo..Hati ipo.. Karibu sana mteja mpendwa.. mercybriella@gmail.com
  11. G

    Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mfipa

    4
  12. G

    Kiwanja kinauzwa Kibaha kina sq merter za mraba 500+ kimepimwana kina bicon

    Kipo kibaha kwa mfipa sehemu inaitwa galagaza, Kinauzwa 5.5M hii ni bei iliyonunuliwa cash Anayehitaji aje pm au anitafute kwa hizi namba
  13. Sonship

    Kiwanja kinauzwa madale mvumoni (ushuani )

    KIWANJA KINAUZWA – MADALE MIVUMONI 📍 Mahali: Madale Mivumoni 📐 Ukubwa: SQM 1,600 📄 Kimepimwa rasmi na kina Hati ya Wizara 🌳 Kipo katika mtaa mzuri, salama na unaoendelea kwa kasi Kiwanja hiki kinafaa kwa: ✅ Ujenzi wa nyumba ya kifahari ✅ Apartments au nyumba za kupangisha ✅ Uwekezaji wenye...
  14. Sonship

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba kwa Mangi

    KIWANJA KINAUZWA – KIBAMBA KWA MANGI, UBUNGO Unatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hiki ndicho fursa yako! Mahali: Kibamba Kwa Mangi, Wilaya ya Ubungo Ukubwa: Meta 20 × 25 Bei: TSh Milioni 14 tu (maongezi yapo) Umeme upo karibu Maji yapo karibu Barabara ya gari inafika...
  15. MaweSaba

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Milioni 10 tu

    Kiwanja cha SQM 1,400 kinauzwa Dondwe, Karibu na Gereza la Mvuti, Ukanda Wa Chanika Kiwanja kina miti mingi ya nazi, ndizi, mapapai, korosho. Kipo barabarani kabisa Nitumie message inbox if interested
  16. Malaika wa Misukosuko

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  17. Mohamed Said

    Propaganda: KItabu Cha Abdul Sykes Kinauzwa Misikitini

    Kwa kipindi kirefu kitabu cha Abdul Sykes kilikuwa hakipatikani kwa kuwa nakala zilikuwa zimekwisha (out of print). Hiki ni kitu cha kawaida kwa kitabu kukosekana. Kitabu cha Abdu Sykes ni kitabu kilichozingirwa na ubishani mkubwa toka mara ya kwanza kilipochapwa kwa Kiingereza mwaka wa 1998...
  18. Mtego wa Noti

    Plot4Sale Kiwanja cha sqm 520 kiko Mbopo Kinondoni kinauzwa Mil 19

    Wakuu kiwanja kizuri chenye ukubwa wa mita za mraba 520 kilichopo Mbopo Wilaya ya Kinondoni kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni 19. Kiwanja kipo eneo zuri na ni jirani kabisa na barabara inayotoka Madale kuelekea Mabwepande. Kiwanja hakina kipengere kabisa. Karibu DM tuyajenge ujipatie...
  19. Sonship

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe-kwa Paulo

    KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MAKABE (KWA PAULO) 📍 Mita 150 kutoka Barabara Kuu ya Mbezi Makabe, kimepakana na barabara kuu ya mtaa. 📐 Kiwanja kimepimwa Ukubwa: 4,333 m² (Takribani Ekari 1.07) ✅ Eneo Kuu: 3,131 m² ✅ Swamp: 1,202 m² ⭐ Sifa za Kiwanja ✔️ Eneo ni tambarare, halina mabonde wala...
  20. Mung Chris

    Kiwanja kinauzwa Bunju B kina nyumba za self

    Kiwanja chenye nyumba kinauzwab Bunju B Beach maeneo ya kwa Mjeshi. Kina hati. Sqm 600. Kuna self 3 double na single 2 zina vyoo nje. Wapangaji wapo. Kuna pagala halijaisha. Bei ya mwisho mil 90. Kwa anaye hitaji apuge simu 0796538437 mmiliki wa kiwanja
Back
Top Bottom