Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 26,075
- 47,835
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo lililotokea Rusumo, mkoani Kagera raia mmoja wa China anadaiwa kuingia kwenye mgogoro na askari polisi aliyekuwa amevalia kiraia baada ya askari huyo kumzuia kuchukua kokoto za mfanyabiashara Mtanzania.
Raia huyo wa kigeni alidai kuwa kokoto hizo ziliibiwa kutoka kwenye eneo lake la kazi (site). Askari huyo aliingilia kati ili kuhakikisha sheria inafuata mkondo, lakini raia huyo wa China anadaiwa kuungana na wenzake kumshambulia askari huyo kabla ya baadaye kugundua kuwa alikuwa polisi.