Nilichogundua ni kwamba Wachina wanapoenda kununua nyaya za umeme kwenye maduka yetu ya hapa nchini, mara nyingi huambatana na micrometer screw gauge au Vernier caliper.
Sijajua ni kwa nini, lakini akifika dukani na kuomba waya, hatua inayofuata ni kupima conductor diameter kwa kutumia kifaa...
Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
mtumishi wako amefiwa,tena kafiwa na mwanae anaomba siku 7 unampa 3.kweli?
Akiwa kwenye majonzi anahitaji faraja,unamwambia umemfuta kazi (kienyeji tu),anakubali.anakuomba umpe stahiki zake unamwambia asubiri sijui masuala ya bank yamefanyaje!! ASUBIRI!
Mmenifuta kazi ghafla mnilipe ghafla...
CEO wa NVIDIA ambayo ndiyo kampuni kubwa inayotegemewa sana katika miundombinu ya AI maana ndiyo inazalisha the most advanced AI chips, amekumbwa na kashifa ya kuchepuka na mwanamama wa kichina ambaye inasemekani ni mpelelezo wa serikali ya china. Taarifa zaidi zinadai huenda huyo mwanamama...
Mchora katuni na mtangazaji nguli Masoud Kipanya amesema kuwa mamlaka husika zinapaswa kuwalinda wananchi wa kawaida na wakulima wa vijijini dhidi ya wageni wanaomiliki mashamba makubwa badala ya kununua mazao toka kwa wazawa.
Kwenye mahojiano kupitia 50 MILES katika episode iliyorushwa Novemba...
Ukiona mchina kaleta kampuni yake hapa afrika tambua yupo kwa ajili ya test.
Nimekumbuka kampuni kama Tecno ilivyokuja afrika na sasa inapeleka products zake ulaya.Mbona ijapeleka mwanzoni.
Leo kulikuwa na uzinduzi TVS hizi pikipiki ulaya ila cha kushangaza kajaza test zile pikipiki za mama samia.
MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea .
Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
Hii ndio Hali ya Dunia inakoekekea.
Japo ndio wavumbuzi wa teknolojia za kisasa zilizorahisosha maisha hapa duniani lakini kwa sasa hawazaliani tena.
China, Korea na Japan ni karibia wazee tupu, baada ya vizazi viwili watakuwa wamepungua kwa zaidi ya nusu China wapo bilioni 1.4 sasa hivi ila...
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa maeneo ya viwanja na nyumba yaliyopo Kata ya Mbezi, Kijiji cha Msufini Kidete, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
Maeneo yetu yamekuwa yakihitajika na wawekezaji kutoka China wanaopanga kujenga kiwanda cha kutengeneza nondo. Hata hivyo, kinachotutia wasiwasi ni bei...
Anonymous
Thread
bei ndogo
mbezi
mkuranga
wachina
wilaya ya mkuranga
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
Kuna sera huwa hazitangazwi kwa uwazi, lakini mtu una akili, utaweka mbili na mbili utalipata jibu la nne.
Jijini Dar, wachina wamechukua kazi karibu zote za barabara.
Wazawa walie tu.
Siku hizi kila mtoa kazi za Ujenzi ana "mchina wake".
Wakandarasi wazawa uzeni tu mitambo yenu kabla kutu...
Nimeona tunawachekea Wachina mno wanaingia TZ vibaya mno tena wapo wengi, Iko sio jambo la kushangaza mno, jambo la kushangaza je mamlaka zetu zinafahamu hata Chinese people ni wangapi hapa TZ? je wanafahamu kwamba wapo wachina wanafuga Bata na kuku? Je wanafahamu wapo wana maduka mtaani maduka...
waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala.
Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
Inakuwaje Idara ya Uhamiaji haichukui hatua za kutosha katika suala hili? Ninauliza kwa sababu mahali ninapofanya kazi kuna raia wengi wa China, lakini kila mara maafisa wa uhamiaji wanapokuja kufanya ukaguzi, wao huondoka mapema kana kwamba wanapata taarifa kabla.
Pia, inakuwaje baadhi yao...
Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..
Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS
Britanicca
Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina la Jin hang, na zitakuwa zikichukua makaa ya mawe kutoka bongo kwenda kwenye migodi yao mikubwa, na...
Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana.
Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
Habari wakuu,
Kwa kasi ya wachina kujenga na kununua apartment baada ya miaka saba sehemu hizi hazitakuwa sehemu ya Tanzania, mbaya zaidi sasa wameanza kujaza makontena,
Kwa sasa ile hadhi ya hizi sehemu mbili haina maana tena. Tunakoelekea pameanza kuwa kama Manzese tu
Soma Pia: Video: Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.