Jengo linauzwa 15M tu

Jengo linauzwa 15M tu

Kumbe ulifanya editing wewe ni dalali? Ila umepewa kazi bila maelezo ya kutosha nimeshaelewa
We unataka dalali au unataka nyumba?msio na hela mna mbwembwe! Kwani akiwa Dalali itazuia wewe au Mtu kununua? dalali yeye Huwa anapoozwa na muuzaji katika bei itakayouzwa. au na mnunuaji kama yeye ndio aliyemleta kumuonyesha site
 
We nae huna akili! Au mchawi wewe? Unataka kumuharibia mwenzenu biashara yake! wabongo nuksi sana,Bora mlivyopunguzwa October 29
Yaan mkuu sijui shida ni nini. Mtu anauza kihalali kabisa na lile limepimwa vizur na wala hicho anachosema hakipo ila anakuja ili tu aharibu biashara ya mtu aonekane naye mjanja. Sijui shida ni nini kwa kweli. Ukimwambia aweke ushahidi wala hana
 
Mkuu wabongo wachawi sana! Ndiomaana October 29 walipunguzwa! Hawa nyau sio wakuwaonea huruma kabisa Wana roho mbaya!

Sasa hapo lengo wakuharibie tu biashara usiuze ,wao hata mia hawana Zaid ya matako yao tu...
 
Hatar sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom