JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,524
- 2,647
- Thread starter
- #41
Sawa ni kiwandaniMaeneo ya viwanda hayo, sina hakika kma apo siyo eneo la watu wa viwanda
Sawa ni kiwandaniMaeneo ya viwanda hayo, sina hakika kma apo siyo eneo la watu wa viwanda
Mbona unacheka mzeeHahaha
Kwanini unapauza wakati mushalipwa?Sawa ni kiwandani
Walilipwa na nani mkuu kwan unanunua kimya kimya? Si unafuata mchakato wote wa kisheria. Sema wabongo bhana hapa unajiona mjanja mwenyeweKwanini unapauza wakati mushalipwa?
OohMkuu hizi taarifa zinauzwa kwa bei kubwa
Hii ni nchi nzimq Dodomq tu ndio wanajitahidi ila karibu nchi nzima ujenzi ni wa kiholelaHuko kushakuwa sehemu ya hovyo, watu wanajijengea tuu holela bila kujali mipango miji.
Weka namba yawa miliki.Hapana boss maana ni zote mbili labda hilo pagale tu utoe 9M ila hiyo nyimba ndogo ipo kwenye kiwanja hicho hicho
Nimeweka yangu ili nikuunganishe naye tuna makubaliano ya hilo jambo,ukiona huna amani au una hofu na mimi basi boss.Weka namba yawa miliki.
Nenda kawe NHC zipo na nyingine KijichiNikopeshe nyumba
KaribuInteresting
Nini tenaAisee
KaribuAisee
Ishatoka?Karibu