JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,524
- 2,647
- Thread starter
- #21
Ipo hewan 0797779091Simu haiptkani mkuu, je kiwanja kimepimwa?? Nataka huu
Ipo hewan 0797779091Simu haiptkani mkuu, je kiwanja kimepimwa?? Nataka huu
Sasa mboni haueleweki umesema hio nyumba hauuzi kule juu mara huku unasema unauza sasa tukuelewe vipi mkuu?Hapana boss maana ni zote mbili labda hilo pagale tu utoe 9M ila hiyo nyimba ndogo ipo kwenye kiwanja hicho hicho
Kipimo cha nn hiki?.Ukubwa wa eneo: 49 × 50
Kumbe ulifanya editing wewe ni dalali? Ila umepewa kazi bila maelezo ya kutosha nimeshaelewaHilo pagale na hiyo nyumba ya pembeni
Nimefanya masahihisho tayar boss ni zoteSasa mboni haueleweki umesema hio nyumba hauuzi kule juu mara huku unasema unauza sasa tukuelewe vipi mku
Anayeuza ni ndugu yangu hivyo kulikuwa na misunderstanding pia kuwa dalali sio jinaiKumbe ulifanya editing wewe ni dalali? Ila umepewa kazi bila maelezo ya kutosha nimeshaelewa
Ndio. Kinawezekana kabisa.Kiwanja kinapimwa kwa Futi?
OkyNdio. Kinawezekana kabisa.
watu wanahoji kwa sababu vipimo ulivyoweka vs ukiangalia hizo picha . Vipimo haviendani.
Na sio sahihi.
KM 5 kwa makadirio bajaji ni elfu moja pkpk elfu moja mia tanokuna umbali gani kutoka barabara kuu
Nipe namba yako nikupigie mimiSimu haiptkani mkuu, je kiwanja kimepimwa?? Nataka huu
Nilirekebisha mkuu ni hilo jengo la pemben na hiyo nyumba ndogo zote kwa ujumla 15Mjengo ? Basi sawa
Ulitegemea zote mbili ziwe bei gani boss?Mbona Hela nyingi
AsanteKila la heri
Una DHARAU za reja reja 😊☺️😌😁🎼Pale juu ungeandika Pagale linauzwa ingekua imekaa vizuri sana.
Maeneo ya viwanda hayo, sina hakika kma apo siyo eneo la watu wa viwandaJengo hili linauzwa, lipo Vikindu, Mkuranga, lina vyumba vitatu na Sebule pamoja na hiyo nyumba pemben ina chumba na sebule kubwa katika eneo zuri na tulivu.
📍 Mahali: Vikindu, Mkuranga
📐 Ukubwa wa eneo: 49 × 50
📄 Lina hati
💰 Bei: TSh 15M tu haina udalali linauzwa na mwenye jengo yeye na mke wake hivyo haliba mgogoro pia
Kama wewe ni mtu unapenda kuishi sehemu tulivu, isiyo na hekaheka nyingi, hapa panakufaa sana.
📞 Mawasiliano: +255797779091
WhatsApp au simu ya kawaida.
Karibu kwa maelezo zaidi na utaratibu wa kufuatilia eneo.
Picha zinagoma ku attach najaribu kuweka kwenye coment