Mkuu Mimi sipo kwenye payroll ya serikali,najenga nchi Kwa kulipa Kodi stahikiHuoni kama unaenda kusinzia ndani ya serikali
Ndio mkuu hata kama huoni kama utaenda kusinzia huko unakoenda kujenga nchiMkuu Mimi sipo kwenye payroll ya serikali,najenga nchi Kwa kulipa Kodi stahiki
Some works tunafanya Kwa monitoring tuNdio mkuu hata kama huoni kama utaenda kusinzia huko unakoenda kujenga nchi
Hapana, sijawahi fikaUkikuwa utapajua
Monitoring spirits😆Some works tunafanya Kwa monitoring tu
Hapa sasa nikuache kwanza!Hapana, sijawahi fika
Safi!!Hapa sasa nikuache kwanza!
😆😆😆 Hapana unatoa mpango kazi baadae unafuatilia mambo yanavyosongaMonitoring spirits😆
Mkuu kama ni millennial sawa Gen-z hapana
Endelea nakuja saivi msitoke hapoMkuu kama ni millennial sawa Gen-z hapana
Hongera😆😆😆 Hapana unatoa mpango kazi baadae unafuatilia mambo yanavyosonga
Lol 😅
Unaenda kukojoaEndelea nakuja saivi msitoke hapo
Nipo jirani Kwa ajili ya back upMimi namalizia shift yangu