Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 38,628
- 110,724
Mimi mpishi tu wapo mabosi wengine huko ndaniWatu wako kumbe wewe ni manager
Mimi mpishi tu wapo mabosi wengine huko ndaniWatu wako kumbe wewe ni manager
Saa ya uongo0108
Mwenzako yupi sasa au kwabibi!Maana hataki kuoga kabisaa
Nasubiri jibuMwenzako yupi sasa au kwabibi!
Angalia vijana wana mambo mengi wanataka uwe mremboMkuu vijana walinipaka eti dawa za kupunguza makunyanzi ya uzee
Eti mjomba Yao naonekana kijana lifestyleAngalia vijana wana mambo mengi wanataka uwe mrembo
Mkuu baadae huendi kutumikia taifa ?Eti mjomba Yao naonekana kijana lifestyle
Kwabibi ni wapiMwenzako yupi sasa au kwabibi!
Vaa netiIli lindo la leo lina mmbu wamekuja na vichupa vya stock ya blood kabisa😶🌫️
Ni lazima ili mkono uende kinywani na kuchangia Pato la taifaMkuu baadae huendi kutumikia taifa ?
Ikulu ya HalmashauriKwabibi ni wapi
Sipajui hataIkulu ya Halmashauri
Huoni kama unaenda kusinzia ndani ya serikaliNi lazima ili mkono uende kinywani na kuchangia Pato la taifa
Ukikuwa utapajuaSipajui hata