Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,965
- 30,544
Nipo homie,miss you aisee😅😅
Niko poa upo homie
Nipo homie,miss you aisee😅😅
Niko poa upo homie
Ebu nitag kwenye huo uzi wakoHuku wengi hawazioni kaziweke kwenye uzi wangu utasaidia majobless kibao humu!
Majukumu tu homie ila nipo humu sana sema huu uzi sipitagi sanaNipo homie,miss you aisee
Homie haya matangazo unatoa wapi ?
Najua una majukumu ndio maana uliposema unaomba kazi nikajua unazingua tu homieMajukumu tu homie Majukumu tu ila nipo humu sana sema huu uzi sipitagi sana
Nayatoa kwenye source ya kueleweka,lakini pamoja na hayo umakini wa muombaji ni muhimu pale anapohisi kuna sintofahamu ya namna moja au nyingineHomie haya matangazo unatoa wapi ?
Sio channel za WhatsApp kweli
Angalia watu wasije kutapeliwa
Dah 😅 haya sawaNajua una majukumu ndio maana uliposema unaomba kazi nikajua unazingua tu homie
Pamoja homie
Sawa homie ukishapost weka na angalizo kazi nzuri sanaNayatoa kwenye source ya kueleweka,lakini pamoja na hayo umakini wa muombaji ni muhimu pale anapohisi kuna sintofahamu ya namna moja au nyingine
Ndio ushasema kuwe na angalizo,imeisha hiyo🤣🤣Sawa homie ukishapost weka na angalizo kazi nzuri sana
Muhimu sana hiyo homie ohooooNdio ushasema kuwe na angalizo,imeisha hiyo🤣🤣
Wanakufanya wewe ndio fursa!Muhimu sana hiyo homie ohoooo
Kuna wataalamu wa utapeli ukishtuka umepigwa za uso 😅
Bosi wangu anasemaga wa africa nyie wajanja wajanja😅😅💔Wanakufanya wewe ndio fursa!
Hatar sana aisee!
Mshahara wa kuvutia ndo shingapi lakini.
Mwambie ndio aishi na sisi kimasta!Bosi wangu anasemaga wa africa nyie wajanja wajanja😅😅💔
Unaokidhi mahitaji yako kwa kiasi kikubwaMshahara wa kuvutia ndo shingapi lakini.
Sawa tuma advance kwanza niweze kufika site shule zinafungwaUnaokidhi mahitaji yako kwa kiasi kikubwa
Hata hapa Usiku wa Manane hatujawahi kuwatumia walinzi wapya advance🤣🤣Sawa tuma advance kwanza niweze kufika site shule zinafungwa