mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 25,130
- 82,298
Umeshaharibikiwa.naona unazo dalili zote
Umeshaharibikiwa.naona unazo dalili zote
na unajua kabisa wew ndo ulianza kuniharibuUmeshaharibikiwa.
Ukiona mdada anakesha kesha tu ujue huyo sio innocent hata kidogo.na unajua kabisa wew ndo ulianza kuniharibu
I was sooo innocent
niachwe😆Ukiona mdada anakesha kesha tu ujue huyo sio innocent hata kidogo.
fungulia channel ya mwamposaniachwe😆
maskio yangu yanawasha naomba nishauri dawa ipo nzuri ya kutumia au nifanyaje ili yapone mazima
laana yangu ikufikie popote ulipo😆fungulia channel ya mwamposa
Kama unamaanisha nilichoelewa,basi pole sana mkuu...Ukiwa na tahadhari nyingi haufurahii maisha!Leo ndo nimeanza rasmi kuishi baada ya miaka 29 ya kuishi in survival mode... Muwe na usiku mwema
Umeelewa nini?Kama unamaanisha nilichoelewa,basi pole sana mkuu...Ukiwa na tahadhari nyingi haufurahii maisha!
Kuishi kwa ajili ya leo tu, akili kuwa na tahadhari kwa ajili ya mambo mabaya.Umeelewa nini?
Basi unakosea survival mode, ni hali ambayo hata waajiriwa wanaishi bila kujuaKuishi kwa ajili ya leo tu, akili kuwa na tahadhari kwa ajili ya mambo mabaya.
Poleni sana, pande zipi hizo kiongoziTetemeko jingine leo 01:07 kanda ya ziwa
Kanda ya ziwa. Tetemeko leo saa saba usiku kama la juzi Alhamisi saa sita usku.Poleni sana, pande zipi hizo kiongozi