Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 15,198
- 30,818
Kumbe hulali mwenyewe kama sisi....Ni sahihi kabisa mkuu
siku moja bwana sikuwa mbali na baby girl, naye hakujua kama nimemuona, nikamtext meseji moja matata sana,guess what?
Aisee niliona boonge la tabasamu usoni mwake,nikasema okay kumbe mambo ndio huwa hivi eeh hahaha!
si ndio😆,,😆😆😆
saivi tunaenda na heavenbaby sio
Ukishaizoea JF inaboa muda mwinginesi ndio😆,,
wea wea yu mdogo wangu
kwahiy uliboeka?Ukishaizoea JF inaboa muda mwingine
Kabisakwahiy uliboeka?
una mimba?Kabisa
Wewe unaonaje?una mimba?
naona unazo dalili zoteWewe unaonaje?